DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwa hiyo umenuna mtu kujinunulia magari?Hebu acha akili za kimasikini mkuu!Au haupendi tukalione ziwa Singidani?😂😂😂
Kama mtumishi wa umma, kujua wapi amepata pesa hizo ni haki ya kisheria. Sijui kuhusu hayo mabasi, ila uwekezaji wa mtumishi wa umma unaweza kuuliziwa na sio wivu wala kosa.
Ni tofauti na kumuulizia Bakheresa amepata wapi hela zake...yeye haendi kushika hela za walipa kodi kama watumishi wa umma.
 
Una uthibitisho wa hiyo taarifa au unajichukiza kipumbavu?Tulia na utafute ukweli.😂😂😂
 
Hakuna mtu atakayeshangaa Abood au Shabiby kuagiza mabasi, ni matajili kabla ya kuwa wabunge, huyu Mwigulu Nchemba Kwa miaka 10 tu kapata wapi huo utajili?
Hata shabiby na utajiri wake hajawi agiza mabasi 60,Nchi ina makubwa hii.
 
Una uthibitisho wa hiyo taarifa au unajichukiza kipumbavu?Tulia na utafute ukweli.😂😂😂
Usichanganye mambo hapa...sijasema hiyo taarifa ni kweli. Ila investment ya public officer lazima iwe wazi maana anaweza kula hela za walipa kodi. Tuna tabia ya kuiba halafu hatutaki kuulizwa mtaji wetu umetoka wapi. sababu ya wizi wizi wetu, biashara nyingi zinakuwepo mtu akiwa madarakani. Akitoka zinatoka naye
 
Unaendeshwa na hisia.Tafuta ukweli kima weye!😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom