Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,163
- 22,739
Wakati sisi Wairan wa Samvula Chole, Manzese Majimatitu, Tandale kwa Tumbo, Manzese kwa Mfuga Mbwa, Buguruni kwa Mnyamani na Buguruni kwa Mnyamani tunasema Irani haikuumiziwa Vinu vyake vya kirutubisha Nyuklia.
Waziri akiri viliharibiwa vibaya. Na anasema hawajakoma. Watarudi tena kuanza rutubisha. Tukumbuke pia Israel iliua wanasayansi wengi pia wa hiyo Program. Sasa kidogo hali hii inatuchanganya sisi Makobazi maana tulikubaliana tusema Iran haikuathirika kabisa. Huyu analeta different story. Inaudhi sana.