vinu

Vinu is both a surname and a given name. Notable people with the name include:

V. M. Vinu (born 1958), Indian film director
Vinu Chakravarthy (born 1945), Indian actor, script writer, and director
Vinu Mohan (born 1986), Indian actor

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    Iran yafunga na kuficha vinu vyake vya nyuklia

    Mnatapa tapa sana ila ndio hivyo..... Iran shut down its nuclear facilities last Sunday over “security considerations,” UN nuclear chief Rafael Grossi has said, expressing concern over the “possibility” of an Israeli attack on Iran’s nuclear sites. Speaking to reporters in New York on Monday...
  2. MK254

    Siri yafichuka, Israel imepania kupiga vinu vya nyuklia iwapo Iran itafanya chochote

    Israel walipiga ubalozi wakijua Iran itaingia kwenye mtego wa kujaribu kulipa kisasi, ambapo hao Israel walitaka watumie fursa hiyo kutatua issue ya Iran kuendelea kuzalisha nyuklia, walipania kupiga vinu vyote hapo Iran. Iran washashtukia mchezo hivyo wameufyata maana hamna namna...
  3. Econometrician

    Rwanda kujenga kinu cha nyuklia kuzalisha umeme ifikapo mwaka 2026

    Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka 2026. Ujenzi wa Kinu cha Nyuklia mjini Kurchatov, Urusi:02.11.2022 Mkurugenzi Mtendaji wa...
  4. MK254

    Ukraine wakomboa vinu vya mafuta na gesi, Boyko Towers. Warusi wakimbia mapambano na kuvitelekeza

    Historia itaandikwa na kusomwa miaka 100 jinsi Urusi ilijitia aibu kwenye huu ugomvi, wanajeshi wa Urusi wamejichokea baada ya kufa zaidi ya laki mbili kwenye kainchi kadogo hapo pembeni, wanapambania ardhi ambayo wenyewe hawana haja nayo...... Walikua wamejichukulia vinu vya gesi, vimewatoka...
  5. MK254

    Warusi wataharuki baada ya kifaa kisichojulikana (UFO) kupaa juu ya vinu vya nyuklia zao

    Hatari sana maana kwa mwendo huu sijui tunakoelekea, Putin afike sehemu ajue liinchi lake hilo libwaku anaweza akazinguliwa popote na litamshinda... Pia akubali yaishe kwamba operesheni ilifeli, ingekua na tija kama angefaulu kuiteka Ukraine ndani ya muda mfupi ila kwa sasa hali imekua hovyo...
  6. MK254

    Ujerumani yataifisha vinu vya mafuta vya Urusi

    Hamna namna....imebidi The German government has taken control of three oil refineries operating in Germany and owned by Russian oil giant Rosneft in an effort to forestall potential damage to its economy from the European Union's embargo on Russian oil. The embargo is set to go into effect on...
  7. MK254

    Hatimaye Putin amepata mwanya wa kutokea, aanza kupiga mabomu vinu vya nyuklia vya Ukraine

    Baada ya kushindwa kuiparamia Ukraine, ageuza hasira zake kwa vinu vya nyuklia akijua kwa kuvilipua atasababisha madhara makuba kwa mamilioni ya watu, anapiga mabomu maeneo yote ya karibu na hivyo vinu ili abembelezwe aache.... Ukraine said several shells landed near a facility where...
  8. Natty Bongoman

    Nchi zenye vinu vya nyuklia na silaha za nyuklia humu duniani

    NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA (angalia Ukraine) NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA NCHI ZENYE SILAHA ZA NYUKLIA Yaani nahisi ajali ya nyuklia ni tishio zaidi ya vita vya nyuklia
  9. M

    Anayeuza vinu vya kukoboa mpunga

    Kama inavyosomeka hapo juu, Naomba yeyote anayeuza vinu vidogo vya kukoboa mpunga aje inbox, pia yeyote mwenye Mota 3 phase hp 20-Used tuwasiliane. Nataka kuanzisha biashara ya kukoboa mpunga vijijini. Ahsante
Back
Top Bottom