Wazee waitabiria kifo CCM: Anguko la CCM laja?

Heko chama cha mapinduzi kimefanya mazuri hapa Afrika kuliko vyama vingine.mfano ccm imeweza kudumisha amani,elimu ya juu kupitia vyuo vya serikali,barabara za rami zinazo iunganisha Tanzania na nchi jirani.
 
...natamani iendelee kuwepo ila si madarakani.

Ccm ikiondolewa madarakani ndo kifo chake na haitafaa hata chembe kuwa chama cha cha upinzani na WENGI wa vigogo wake ndo watakapokufa kwa ma stroke
 
Ingawa natamani ccm ife kisiasa na kiuchumi lakini hiyo allegory ya kuunganisha alichofanya Iddi Amini na yanayotokea sasa nadhani sio sawa. Maudhui, mazingira na vitendo havifanani so sio consistance.
 
Mimi natamani CCM kiwe chama cha upinzani..tuone kama bado wataendelea kulala bungeni!!
 
sisiemu ife,tena ife kabisaaa! upinzani utaletwa na vyama vingine ambavyo havijanajisiwa bado.Ni upinzani gani imara kutoka kwa sisiemu? Upinzani wakutaka uingie tena madarakani ili uibe? Sisiemu ichukuliwe na israeli haraka,tena hata kabla ya 2015.
msihofu wapendwa , hakuna ccm bila serikali////dola/////where is kanu,,kile cha zambia,malawi,uganda,ghana,,mifano ni mingi nao wanalijua hilo huoni siasa za kuchinjana huko arumeru ,kukatana mapanga mwanza,,nk,,,,ni kukataa kunyanganywa dola,,,,wanaijua historia,,,,,
 
Duh kumbe iddi amini naye ni genius, alitabili kuwa uko mbeleni ccm itakuwa janga la kitaifa, babu iddi amini uko ulipo tunakujulisha ili lichama la ccm ni janga km ulivyotabili.
Lichama ili ccm limejaa wezi, vibaka, mafisadi na kila wabaya uliowafahamu wamejaa ktk ccm
 
CHADEMA wakishika nchi wakifute kabisa Chama Cha Mafisadi kama Chama Cha Hosni Mubarak kilivyofutwa.
 
Juzi katika wilaya ya Misenyi kwenye kikao kilichoitwa cha vijana wa ccm ingawa vijana walikisusia, Nape alitapatapa kuelezea wanachama wa ccm wanaokihama chama hicho, lakini mwishowe alisema "hata wakihama wote nikabaki peke yangu ccm haitakufa".
Hii inamaanisha nini? abaki peke yake bado ccm itakuwa hai, ama ndio matamshi ya kuchanganyikiwa?
 
Ina maana hata mwenyekiti wake anaweza kuhama na kumwacha?.....hhaahahaa Nape bwana!
 
sasa ulitaka aseme nini kwamba abaki na wewe@#$%&*( huna nyimbo kaa kimya mwache mheshiwa wetu Nape aseme anavyotaka wala usimfuate fuate
 
Hili lijamaa NEPI huwa hata silielewi kabisa, lakini siku zote mfa maji haishi kutapatapa. Wazee wakongwe wameshasema hanguko haliepukiki lakini hili jamaa kama halioni!!!!!!! kweli GAMBA lake ni gumu.
 
ndo maana juzi kaambiwa na viongozi wenzake kua ccm sio chama chake binafsi...naona dogo anajisahau
 
Huyu pamoja na kutapatapa kwake, mwisho wa siku atahamia Chadema ili akaendeleee kula. CCM ni maiti tu iliyo hai. Subirini tu, mtaona wenyewe.
 
ukweli ulio wazi kwenye kauli ya nape ni:

1. kweli sasa CCM inahamwa na wanachama wake kwa wingi kiasi cha kuwatisha hata viongozi

2. CCM na viongozi wake, hawana cha kufanya kuzuia wanachama wake wasikihame

Ndiyo maana anakiri kuwa mwishoni atabaki yeye tu kwenye CCM!!

Ni kauli ya mtu asiye na la kufanya na aliyekata tamaa!
 
Juzi katika wilaya ya Misenyi kwenye kikao kilichoitwa cha vijana wa ccm ingawa vijana walikisusia, Nape alitapatapa kuelezea wanachama wa ccm wanaokihama chama hicho, lakini mwishowe alisema "hata wakihama wote nikabaki peke yangu ccm haitakufa".
Hii inamaanisha nini? abaki peke yake bado ccm itakuwa hai, ama ndio matamshi ya kuchanganyikiwa?


Sasa abaki pekee hiko chama ni chake? Huyu yanki ni sawa na simba aliyejuruhiwa, anaongea kwa jazba kana kwamba kuna watu wanataka kummaliza. Vuvuzela, CCM inakufa hivi karinuni swali langu kwako ni je, utakuwa kwenye chama gani baada ya kifo? Na ikifa CCM haitafufuka tena as people are tired of your bullshit. Kwa viongozi wa Chadema, tafadhali msichukue ama kukaribisha haya maiti ndani ya Chadema. Akiomba kujiunga naomba mkumbuke maneno anayosema hivi sasa dhidi yenu. Mwisho wake unakuja yeye na mafisadi wenziwe.
 
Sasa nape kama hameishiwa pointi si arudi class kwanza na akitoka huko anajikuta hadi kiwete amejiuzulu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom