Wazee waitabiria kifo CCM: Anguko la CCM laja?

Ndugu wana mageuzi, kama tunaweza kutabiri majira ya mwaka kwa nini tunashindwa kutabiri alama za nyakati hizi?

Wandugu habari zilizopo ni kwamba vigogo wa CCM akiwemo mtoto wa head boy wameanza kutorosha fedha na sasa hawapeleki tena USWISI maana kule kimeshanuka, sasa wanapeleka LONDON.

Mtoto huyo alipohojiwa alisema kwamba upepo haueleweki na kwamba chochote kinaweza kutokea CDM wakachukua nchi kwa hiyo bora aanze kujiwekea hazina nje mapema.

WANDUGU MPO HAPO? HAWA JAMAA WANAKIRI WENYEWE KWAMBA HALI SI SHWARI, IKULU NI NDOTO KWAO, LAKINI MBONA WANATUIBIA NA KUFICHA HELA NJE? HIVI HATA KAMA WATAKUJA WATAWALA WENGINE WATAENDESHAJE NCHI?

HEBU TUCHANGIE HILI
 
Ndugu wana mageuzi, kama tunaweza kutabiri majira ya mwaka kwa nini tunashindwa kutabiri alama za nyakati hizi? Wandugu habari zilizopo ni kwamba vigogo wa CCM akiwemo mtoto wa head boy wameanza kutorosha fedha na sasa hawapeleki tena USWISI maana kule kimeshanuka, sasa wanapeleka LONDON. Mtoto huyo alipohojiwa alisema kwamba upepo haueleweki na kwamba chochote kinaweza kutokea CDM wakachukua nchi kwa hiyo bora aanze kujiwekea hazina nje mapema. WANDUGU MPO HAPO? HAWA JAMAA WANAKIRI WENYEWE KWAMBA HALI SI SHWARI, IKULU NI NDOTO KWAO, LAKINI MBONA WANATUIBIA NA KUFICHA HELA NJE? HIVI HATA KAMA WATAKUJA WATAWALA WENGINE WATAENDESHAJE NCHI? HEBU TUCHANGIE HILI
Wataanza na moja kama alivyooanza Mwl Nyerere.
 
ROSTAM alishaweka wazi jambo hili,kabakiza za vodacom,na lile deni la panafrica energy analodaiwa na govt halipi!
 
Hizi ni siasa za kuchafuana tu. Tunafika mbali. Angalieni wenzenu hatuna nchi ya kukimbilia, Mnatuchafulia nchi, wenzetu mnakimbilia nje, sisi tunabaki tunamalizana. Kuweni na Roho wa Mungu.
 
sisi tunachoomba ni nchi yetu tu..wakitaka hata kuzipeleka hizo hela mbinguni ni ruksa kwa wao kufanya hivyo mradi tu 2015 waondoka tuanze kuijenga hii nchi upya
 
TATIZO ELA ANAYOPELEKA NJE NI YAKE KM MSHAHARA? AU NI UFISADI? KUMBUKA RICHMOND ILE ELOWASA ALODAI NI MALI YA JK LEO INAITWA SYMBION NA INAENDELEA KULIPWA NA WATANZANIA NA ELA nk NDO IZO ZINAENDA KUFICHWa MAJUU IVO SIONI UONGO WA KAULI II
 
sisi tunachoomba ni nchi yetu tu..wakitaka hata kuzipeleka hizo hela mbinguni ni ruksa kwa wao kufanya hivyo mradi tu 2015 waondoke tuanze kuijenga hii nchi upya
 
Kuhifadhi fedha nje ya nchi sio kigezo cha muhusika kwamba ataishi maisha mazuri huko na inawezekana zikapotea na ikawa faida ya hizo nchi alikohifadhi hizo fedha tukumbuke Mutassin Ghadaf, Khamis Ghadaf, Saif Al Islam na wengineo walificha fedha nje ya nchi yao lakini leo hii wengine ni marehemu na Saif hajui na inawezekana hakumbuki hata alihifadhi fedha kiasi gani yaani hana Document yeyote kwa hiyo fedha zimepotea.
 
sisi tunachoomba ni nchi yetu tu..wakitaka hata kuzipeleka hizo hela mbinguni ni ruksa kwa wao kufanya hivyo mradi tu 2015 waondoka tuanze kuijenga hii nchi upya

hatuwezi kujenga hii nchi bila pesa.Watakamatwa iliwaludishe pesa zetu.Haiwezekani tujifunge mkanda wakati watu pesa wameziamishia nje ya nchi.PATACHIMBIKA
 
Hizi ni siasa za kuchafuana tu. Tunafika mbali. Angalieni wenzenu hatuna nchi ya kukimbilia, Mnatuchafulia nchi, wenzetu mnakimbilia nje, sisi tunabaki tunamalizana. Kuweni na Roho wa Mungu.

Mkuu usihofu...hata yeye nadhani baadae utasikia amekimbilia kujificha ubalozi wa Zimbabwe mjini London...maana wakuu wa ukweli wakiingia Ikulu itakua tofauti na zamani,,,,kutakuwepo na hali ya watuhumiwa kurudishwa nchini na kujibu tuhuma...
Ngoja sisi tubaki tu humu mbagala mkuu....tutaonana nao kisutu baadae
 
The Conquerer

Maskini maraisi waliopita TANZANIA( mkapa) sasa watakiona cha kuni. siku WATU tukichukua nchi kutahamna cha muheshimiwa raisi mstaafu bali ni muwakilishi aliyepita mstaafu mkapa.hawa ccm ni Mapapa ambao hawashibi hatakama wakitoka madarakani.ona, we utawezaje kutenga billioni 8 kwenye budget kwa ajili ya maraisi wastaafu wakati wafanyakazi wanashinda njaa. namshauri MKAPA akatubu chadema kabla ajatupwa kwenye JEHENAM la kutemewa mate na watu (chadema).
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe umeweza kuiona hiyo deal ya huyo kinda wa boss ina maana hata vyombo vya Dola vimeshachungulia hiyo line.Aidha sio wote walioko uwanjani wanafurahia hizo beat, kwa hiyo muda muafaka utakapowadia kila kitu kitakuwa nie nje. Hakuna atakaetoka wakati zumari litakapochanganya.Kuwa na subira kidogo tu utaipenda bure hiyo movie. Wataomba wenyewe ardhi ifunguke wawahi kuzimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom