Wazee waitabiria kifo CCM: Anguko la CCM laja?

Yaani unaota mchana tena ukiwa macho, hivi chama cha kuanguka ni chama cha wananchi wote(CCM), au chama cha kanda moja tu(CDM)?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

aliye kufani hajui, hudhani ni ugonjwa kama magonjwa alokwisha wahi ugua, mara zote hudhani atapona tu, badala kuandika wosia, ccm hamtaki kukubali. picha imekwisha andikwa =THE END=
 
source iko wap kaka,au udaku?

Kwani hiyo nyumba aliyonunua Maige kwa thamani ya Tsh milion 650 ni UDAKU??, kwani hao mawaziri wanaotakiwa kujiuzuru kwa kula pesa za walipa kodi ni UDAKU? Kwani hao madiwani zaidi ya 8 waliohamia chadema kutoka CCM hadi sasa ni UDAKU??? Kwani viongozi wa UVCCM wa huko Arusha(MILYA) na Monduli(Laizer) kukihama CCM na kuja CHADEMA ni UDAKU.???

Subili hadi KIKWETE siku akiamua kukihama CCM na kuja CHADEMA ndoo utaamini si UDAKU....
 
Yaani unaota mchana tena ukiwa macho, hivi chama cha kuanguka ni chama cha wananchi wote(CCM), au chama cha kanda moja tu(CDM)?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Hata kama hauna akili basi uwe unaona hata aibu basi...yani hadi leo bado unafikiri kuwa CHADEMA ni chama cha KANDA? Kwa hiyo MWANZA, MARA, KAGERA, KATAVI, SUMBAWANGA, KIGOMA, DAR, SONGEA, SINGIDA, SHINYANGA, SIMIYU NA GEITA NI KANDA MOJA....Mbona hauushirikishi ubongo wako hata kwenye mambo ya msingi? Kweli, ukiwa CCM unakuwa KIPOFU, YAANI UTAKUJA KUONA SIKU UKISIKIA ccm IMEANGUKA.....
 
R.P.I CCCM a.k.a MAGAMBAAA! WASTAREHE KWA AMANI AMINA. BWANA ALITOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE. MAZISHI NI MUDA WOWOTE KUANZIA SASA!
 
yaani unaota mchana tena ukiwa macho, hivi chama cha kuanguka ni chama cha wananchi wote(ccm), au chama cha kanda moja tu(cdm)?.
.
"wasiosoma ni chakula cha wasomi".

maskini magamba!tunashukuru sana kwa kukubali ninyi wenyewe kwamba msiosoma ni chakula cha wasomi.ushahidi ni pale unaposema ccm ni chama cha wote,huu ni usemi wa mtu asiyesoma.
 
Yaani unaota mchana tena ukiwa macho, hivi chama cha kuanguka ni chama cha wananchi wote(CCM), au chama cha kanda moja tu(CDM)?.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

Nadhani unaishi karne iliyopita au akili zako ni sawa na Mbunge KOMBA au Mzee toka Gombe AKA WAssira! CDM si chama cha kikanda Ona Songea, Mbeya, Kigoma, Rukwa na bado LINDI Mtwara kuna CUF sasa kwa akili zako zinazowaza km LUKUVI mnadhani bado mmna utawala! Kafe jalalani CCM
 
​wapenzi wa ccm mkajadili siasa kwenye mashina ya wakereketwa go to hell
 
Ama kweli maandiko matakatifu hutuambia laana hukaa hata kizazi cha nne, hii imetokea wakati tukiwa awamu ya kwanza na miaka miwili tangu kuzaliwa kwa ccm. IDD AMIN DADA alipoichoma bendera ya ccm na kuwa mtu wa kwanza kufanya hvo na cjui kwa nini aliacha bendera ya taifa na kuishughulikia ya ccm. tokea hapo ccm imepita ktk wakati mgumu wa kukataliwa hata na baba wa taifa akasema ccm si baba wala mama yake pia kolimba achilia mbali wazee na wananchi wa awamu hii ya nne. NAONA YOTE HAYA NI LAANA YA NDULI KUCHOMA BENDERA YA CCM. JAMANI TUIOKOEJE CCM ISIFE AU TUBADILI HII BENDERA ILIYOTIWA UNAJISI NA AMIN DADA. HII YOTE NI ILI 20I5 WAWE WAPINZANI IMARA WENYE MAONO HAI. TUWASHAURI TUSIWAACHE WAFE KABISA WATANI WETU HAWA
 
ama kweli maandiko matakatifu hutuambia laana hukaa hata kizazi cha nne, hii imetokea wakati tukiwa awamu ya kwanza na miaka miwili tangu kuzaliwa kwa ccm. Idd amin dada alipoichoma bendera ya ccm na kuwa mtu wa kwanza kufanya hvo na cjui kwa nini aliacha bendera ya taifa na kuishughulikia ya ccm. Tokea hapo ccm imepita ktk wakati mgumu wa kukataliwa hata na baba wa taifa akasema ccm si baba wala mama yake pia kolimba achilia mbali wazee na wananchi wa awamu hii ya nne. Naona yote haya ni laana ya nduli kuchoma bendera ya ccm. Jamani tuiokoeje ccm isife au tubadili hii bendera iliyotiwa unajisi na amin dada. Hii yote ni ili 20i5 wawe wapinzani imara wenye maono hai. Tuwashauri tusiwaache wafe kabisa watani wetu hawa
hilo li ccm limeishaoza linakufa muda si mrefu na wala ccm haitakuwa chama pinzani - itakufa na kusaaulika.
Wametenda mengi mabaya na sasa wanavuna walichopanda, wameua watu na wanaendelea kuua
 
sisiemu ife,tena ife kabisaaa! upinzani utaletwa na vyama vingine ambavyo havijanajisiwa bado.Ni upinzani gani imara kutoka kwa sisiemu? Upinzani wakutaka uingie tena madarakani ili uibe? Sisiemu ichukuliwe na israeli haraka,tena hata kabla ya 2015.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom