Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwa huko foleni ni given,mi nimeopt kupitia mwenge lugalo na sasa ndani ya dk kumi nakimbilia africana,kwa huko ukishapita round about ya malingo huwa nakaa katikati mpaka round about ya shabaha,ila kwa hadhi na ukubwa wa hilo gari tembea tuu mdogomdogo na hiyo queue
Watu wa Mwenge ni bata tu, nimetoka hapa vuup tayari gheto :D:D:D no foleni wala nini
 
Safari huwa naanzia Total Bagamoyo.
wewe kama mm kabisa. kama naelekea zangu moshi arusha nikitoka dar safari naianzia pale shell TOTAL .Kama unatoka Dar; ukitoka round about bagamoyo ipo upande wa kushoto. Ile shell imesimama kinoma. najaza cha mwarabu pale naanza safari nikifika njia panda pale napaki napiga beer mbili naanza kutafuta wami. sina haraka.
 
Unawezaje kuonja na kuendesha?
 
Nishaanza darasa la manual

Kasie atakuwa ananipa online classes.

Auto tunawaachia nyie wakishua walaini laini 🤣🤣

Go girl....

Manual drive for enjoyment.

I love manual cars, vile nabalansisha clutch na mafuta na clutch na breki weeh huku nachezea kirungu juu chini kulia kushotooo....😅😅😅

Uuuuuhhhhh....! balaaa mpaka udenda umenitoka 😋😋😋 aahahahahaha.

Ntakufunsiha mwaya na weekends ukipata nafasi nakuachia manual ya bibi uongeze mazoezi ya kuendesha.
 
Back
Top Bottom