blance86
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,081
- 5,451
Huyo hapo mkuuHata kapicha ka mnyama aliekufikisha huko salama mkuu...
Huyo hapo mkuuHata kapicha ka mnyama aliekufikisha huko salama mkuu...
Mbna hujapita kunichukua? Au unataka nkubwage wee mangi?
Primio F mkuuUlitumia gari gani?
Malizia sura yote, huenda tunafahamiana mkuu.Huyo hapo mkuuView attachment 1821857
Mkuu ndio nimeingia hapa bambalaga mda huuMida ya saa ngapi mkuu unikute?
Kuna namba A ya Landrover 109 naitamani sana asee, gari ya Babu ilishakufa. Wakiruhusu hii kitu mimi wa kwanza mstariniWabongo wanavyoabudu namba mpya nani atakubali namba ya zamani?
Nimeona mafuta yamebaki mengi, nimetumia nusu tank tu.. ngona niendelee na tafiti yanguHapo ukitoka utaskilizia pulling itakavyochange
Gari za msafara wa Namba 1 zinaweza kata huo mudaKuna jamaa alishaweka ya 4hrs, Jamatini Dom - Ubungo mataa. VXR V8
Duh sijatoka tangu Easter dadeq....! Hata Bagamoyo
Hata kapicha ka mnyama aliekufikisha huko salama mkuu...
Nipo Mtendele hapa bidae naanza safari ya wilaya ya MilimaniAnaepita Tanga Kesho company ipo hapa
Can’t wait after months nasafiri tena
Nimekosa mpaka usingizi (kama enzi za utotoni)