Kuna watu wanajua kutunza magari. Lakini wengine miezi sita tu haitamaniki.
Usiku mwema.
Baba Bataringaya usichungulie huko anakoenda huyu utapofuka masikio .
Taibali,Wakati baba yake amebaki kwenye juice yeye mapema akakimbilia kkoo kuanzisha biashara ya nguo pale kwenye jengo la mzee Rupia🥂🍻
Gentleman Taibali 😊.
Nilipandia ubungo kibo pale, wala sikuwa namjua dereva personally.naomba connection nataka kwenda Mbeya na Kurudi
okay okay asante chiefNilipandia ubungo kibo pale, wala sikuwa namjua dereva personally.
Njia nzima ukimbia 200kph?
Taibali,Wakati baba yake amebaki kwenye juice yeye mapema akakimbilia kkoo kuanzisha biashara ya nguo pale kwenye jengo la mzee Rupia
Hilo jina linafukua kumbukumbu zangu za utotoni enzi hizo za upanga
Pia nimemshangaa na kushindwa kumuelewaKwamba Crown haipitwi au?
Whitching hour 😁 😁 🙌 🙌'.....I am an early riser anyway, and at 3 am the roads are empty and quiet, one can be alone with one's thoughts. I like to see the coming of dawn, the change between night and day, which is always majestic. It was also a convenient hour for departure because the police were usually nowhere to be seen' By Nelson Mandela on road trip!
Kwendana na masimulizi ya wahenga,bora tu nichelewe na kukutana na Traffic. 4AM it's good for me.Muda mzuri sana wa kulianzisha...jua likichomoza uko mbali sana
Leo majira ya saa 11 jioni nimekutana na chuma moja kali sana lakini nimeshindwa kuifahamu kiundani. Imeandikwa CYANNE TURBO kwa nyuma then namba DV, body yake ni SUV kama VW tourage.
Hebu wataalamu mnaoifahamu hii chuma nipeni ABC's zake