Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,833
- 225,644
Hii Mbeya pazuri juzi kipindi naenda mbeya,niliona usiku kuna mafuriko ya ndinga kali kama kijiji pale nje.Mbeya Carnival
City Pub
Mbeya Pazuri
Horizon
P Son
Ngonga
Pamodz
501
Samaki Samaki
Hope Villa
Viva
Mwailubi
Katika zote hizo..Mbeya Carnival
City Pub
Mbeya Pazuri
Horizon
P Son
Ngonga
Pamodz
501
Samaki Samaki
Hope Villa
Viva
Mwailubi
Mje tena aseeMpo vizuri.
Mmejitahidi.
Yeah huwa panajaa juu pako road sanaHii Mbeya pazuri juzi kipindi naenda mbeya,niliona usiku kuna mafuriko ya ndinga kali kama kijiji pale nje.
Hizo nilizotaja siyo kwamba ndiyo chimbo zote mbeya nzima bali ndizo ninazopendelea kwenda so zote ni bestKatika zote hizo..
Ipi unapendelea kuwepo/kwenda?
Haya hizo ndizo baadhi ya picha nilizopataAngetuwekea picha unaweza kwenda ukawa disappointed bure!
Asantee. Hope wiki zangu kadhaa zitaenda poa kwenye maeneo hayo.Mbeya Carnival
City Pub
Mbeya Pazuri
Horizon
P Son
Ngonga
Pamodz
501
Samaki Samaki
Hope Villa
Viva
Mwailubi
Fanya fanya mambo
Nafikiria nimpe ya nani
Rafiki zangu karibia wote siyo watu wa kwenda hayo maeneo.Fanya fanya mambo
Mbeya ni 🔥🔥🔥🔥🔥Haya hizo ndizo baadhi ya picha nilizopata
Kujua jina la sehemu angalia chini kwa details za kila pichaView attachment 2036073View attachment 2036074View attachment 2036075View attachment 2036076View attachment 2036077View attachment 2036078View attachment 2036079View attachment 2036080
Umekuwa balozi mzuri wa mbeya.Haya hizo ndizo baadhi ya picha nilizopata
Kujua jina la sehemu angalia chini kwa details za kila pichaView attachment 2036073View attachment 2036074View attachment 2036075View attachment 2036076View attachment 2036077View attachment 2036078View attachment 2036079View attachment 2036080
Hahaaaaaa, ndiyo maana nkasema tunaeda Kupiga story na kunywa juice.Rafiki zangu karibia wote siyo watu wa kwenda hayo maeneo.
Mazee, hapo mti hujapambwa bado!!X-mas tree....alisikika Mjapan mmoja akisema! 😂😂
View attachment 2037488