Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Kuna Nissan GTR wameitune mpaka 1600hp.Hii hapa RS6 inacheua 1000HP
View attachment 1911690
Kuna Nissan GTR wameitune mpaka 1600hp.Hii hapa RS6 inacheua 1000HP
View attachment 1911690
Hivi unajua ndio naelewa sasahivi? 😂 uwiii hiyo kibao inayo'direct maji chumvi huko me sifahamu.Kwanini panaitwa maji chumvi![]()
Hapo ni pande zipi Mkuu?
Cate hotel, Morogoro.Hapo ni pande zipi Mkuu?
Hiyo passo hapo pembeni ndo ume pack Mkuu?
Mkuu mbona hiyo uliyo'quote yenyewe inatembea? Angalia vizuri.Hiyo passo hapo pembeni ndo ume pack Mkuu?
Huogopi usiku mtt mzuri?View attachment 1914310
Midnight 😎
Imekaa kama AmazonBy 4
TX
Hahahah mtt anadai na wasio pisi kali wazingatiwe jamani😅
Umeme huu!
Huwez kuwa serious😅Sijui hata nilikwama wapi!
Siku nilizokuwa free nilizitumia kulala tu.,
Nikawa naogopa kupotea,,,hapa nilipo nikienda kkoo au posta mwenyewe napotea.