Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Tandale sijui hata ipo wapiTandale mnapanda za wapi? Au unatuleta na wewe?
Me naijua ile ya pale magomeni kanisani inaingia kwa ndani huko.
Kuna watu wanaijua Daslam sana, nina rafiki angu anajua chocho hatari. Kwanza Dar humtoi, anakwambia nikitoka nje ya Dar nitapauka.
nimeitaja tu.Sent using Jamii Forums mobile app


