Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
safi kabisaaaKuna Nissan GTR wameitune mpaka 1600hp.
safi kabisaaaKuna Nissan GTR wameitune mpaka 1600hp.
😎😎😎😎Hatimaye 😂 muone.
Kwendraaa😎😎😎😎
Ni pale kesho natakiwa kwenda kariakoo sehemu fulani na sielewi nafikajeHuwez kuwa serious![]()

,itajulikana.Ukifika Kariakoo uliza tu. Ila ujue tu kuuliza 1,000/- kupelekwa 2,000/-Ni pale kesho natakiwa kwenda kariakoo sehemu fulani na sielewi nafikaje
Haki ushamba mzigo,itajulikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣 aahUkifika Kariakoo uliza tu. Ila ujue tu kuuliza 1,000/- kupelekwa 2,000/-
inafikia mahala unatoka kwa nguvu tu 😁😁Pale mtu anaposafiria kahawa km 200!
Wakishua na Masaki bana.
Umeona unitukane eeh🐒🐒🐒Wakishua na Masaki bana.
Karibu Kimbiji mkuu 😂Umeona unitukane eeh🐒🐒🐒
Heheheheh ni noma aiseeNi pale kesho natakiwa kwenda kariakoo sehemu fulani na sielewi nafikaje
Haki ushamba mzigo,itajulikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari juu ya hatali.. mikoani mwishoni huko wanaelekea 2600+Kimeumana...Lita moja 2,511 kwa Dar!
Twende wote 😋😋Kwendraaa