RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,368
- 134,903
- Thread starter
- #9,161
Miguu inaniwasha sanaMkuu siku hizi nimekuwa boss kitambe meneja, safari zimekuwa nadra sana, ila safari za town nazipiga kweli kweli Tume waachia ma junior 😁😎 ila jumamosi nina safari naenda Tabora hadi kahama alafu narudi Dar . mwenye abiria.. condition pisi kali mguu ya bialeee 😎