Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Barabara zetu hazipo vizuri aiseee nimetoka lindi nikaingia songea then kesho nikaingia mbeya nikakaa siku kama 5 hivi then nikaingia dodoma via mtera nikachill siku 2 3 then dar kisha lindi to be honest road zetu zina hali mbaya
 
Awamu hii haina mpango na miundombinu. Ajaye atakoma.
 
Safe trip brother.
Tayari masta. Roho inaniuma, Kuna kitu hakipo sawa aisee, 30 km/L ?? Nimezoea 35 km/L highway.

Nilijaza fulltank Ubungo, nikaenda Moro, misele kidogo, nikaamkia Ifakara misele kidogo, nikanyoosha Ifakara Moro misele kama ya 1hr hafu Moro - Dar.

Wese la 130,000 FT, ninavoanza nilikua Empty, limebaki la misele ata 3 days.
 
259.jpg

Average hiyo apo, jumla ya distance Kilometa 846
 
Tayari masta. Roho inaniuma, Kuna kitu hakipo sawa aisee, 30 km/L ?? Nimezoea 35 km/L highway.

Nilijaza fulltank Ubungo, nikaenda Moro, misele kidogo, nikaamkia Ifakara misele kidogo, nikanyoosha Ifakara Moro misele kama ya 1hr hafu Moro - Dar.

Wese la 130,000 FT, ninavoanza nilikua Empty, limebaki la misele ata 3 days.
Siku ukiendesha haya makorokoro yetu utaoomba msamaha hio gari.
 
Back
Top Bottom