Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Naitoa soon hata jamaa yangu fundi kaniambia niitoe nisisubiri ilete matatizo mengine.
Kama ukiweza, nunua dpf mpya. Kutoa pamoja na kufanyiwa dpf delete unaweza kuleta mnyororo wa matatizo mengine. Na kubwa ni kuhakikisha unaepuka matumizi ya mjini tu, kuwa angalau mara moja au mbili kwa mwezi 'unachoma kaboni' kwa safari ndefu
 
Did that; I actually took the ECU to the UK, did the electronic delete, and physical removal in TZ! Still, it wasn't the best solution.
Nina gari nimenunua 2023 UK. DPF kama yote. Mafundi wengi wa kibongo wanakushauri delete, but reality siyo rahisi hivo. Kuna kupindi iliniletea shida kidogo. Fundi kaniambia tutume UK (mwingine akasema Egypt), jamaa yake ni mtaalamu wa kudelete. Nikamcheck jamaa yangu UK ni exporter wa magari…..mwisho akaniambia uki delete utasababisha shida mbele ya safari. Hata huku UK watu wanafanyiwa delete kama kuwapoza tuu ila tatizo lipo tuu.

What I did….nilikuwa kwa dealer kila mtu anatoa macho tuu. Dogo mmoja akanisanua. Braza twende mtaa wa Pili nikuonyeshe kitu. Tukaenda chamber, Dogo akaniambia inawezekana umeweka @Adblue non compatible. Tuka empty tank lote la @Adblue, tukaweka nyingine. Nikawasha gari. After one minute check engine ikapotea na dashboard ikasoma vizuri. Tangu siku hiyo sijawahi pata shida tena na DPF.

Kama walivyosema wadau humu, Kikubwa gari Mara moja moja unaipiga hata 100kms.

Unless otherwise, nisingekushauri ku delete DPF. Mafundi wetu noma sana. Magari ya Umeme kwa wengi ni changamoto inayowafanya watafute majibu ya mkato. Juzi Kati yangu niliiendesha 900km+

All the best,
 
Gari gani hiyo ina add blue?
 
20250208_094538.jpg

20250208_094513.jpg

Ukanda wa gaza...🥶😊.
 
Back
Top Bottom