Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

117347.jpg
 
MAWAZO YA UWANDISHI WAKO BADO NI MGANDO - Huwezi kuandika hoja nzito kama hii bila kupangilia hoja zako kwa mantiki ya msingi kama msomi mzuri - Unakuwa kama hujataka kuandika andiko kama msomi huru nadhani ujitafakari mwandishi kwa hilo maana upo very poor kabisa katika andiko lako unakuwa kama sio msomi au mtu umeenda shule kabisa .....
 
Nani kakwambia mimi nimeenda shule au msomi? Wewe ni Dr manyaunyau au? GTFOH.
 
Kesho jumapili, Nina Dar - Moro, Jumatatu Moro - Ifakara hafu Malinyi then Dar.

Hii nimeforce tu, nahitaji real challenge mwezi ujao Kahama.
 
Back
Top Bottom