mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,992
- 2,936
Mazda CX-5 sijwai kwenda safari ya mbali, ini gari nzuri ila service inatakiwa izangatiwe kw wakatiHapana mkuu.
Mazda CX-5 sijwai kwenda safari ya mbali, ini gari nzuri ila service inatakiwa izangatiwe kw wakatiHapana mkuu.
NA hyo ndio route ambayo viongozi wa serikali wanapita sana 🤣Jana nimeingia Dodoma from Dar. Barabara Moro to Dodoma ina mashimo balaa.
Kwa wakati maana yake kufuata maintenance schedule ya gari lote, si oil peke yake kumbuka izo gari zinatumia umeme mkuuKwa wakati ni km ngapi au muda gani?
Ni sawa ni diesel ila ina umeme mwingi kwenye mfumo wake siyo kama land cruiser 1HZ waya n chacheHii ni ya DIESEL mkuu sio umeme.
Sasa mnaoenda 90-110kph mara shimo ilooo.Jana nimeingia Dodoma from Dar. Barabara Moro to Dodoma ina mashimo balaa.
Sema umeitendea haki sana hii gari. Hapo DPF imekushuruMazda CX5
Kaka, toa takataka hiyo. Kuna mtu kazini ameanza kutoa makamasi.DPF naivutiq muda tu niiondoe. So far so good.