Haya ma GS yanakelele aisee. Hafu unakuta used Mil 26+Hutakiwi kwenda umbali mrefu umeinamisha mgongo. Tafuta chuma ambazo unakaa in a natural position
View attachment 3512912
Lakini kama ni kwa ajili ya kwenda kula ice cream na warembo basi hizo zitakufaa 😁😁
Hii chuma sh ngapiHutakiwi kwenda umbali mrefu umeinamisha mgongo. Tafuta chuma ambazo unakaa in a natural position
View attachment 3512912
Lakini kama ni kwa ajili ya kwenda kula ice cream na warembo basi hizo zitakufaa 😁😁
Hii chuma sh ngapiHutakiwi kwenda umbali mrefu umeinamisha mgongo. Tafuta chuma ambazo unakaa in a natural position
View attachment 3512912
Lakini kama ni kwa ajili ya kwenda kula ice cream na warembo basi hizo zitakufaa 😁😁
Likiwaka kama helicopterHaya ma GS yanakelele aisee. Hafu unakuta used Mil 26+
Isanga family swala la muda tu. Kuna siku nakuja PM uniagizie chuma.
Hayo madude used unakuta Mil 20+ ni kwa wapenzi wa pikipiki sio sisi tu aotafuta chombo cha usafiri. Mfano uyu anauza Mil 50 ikiwa na full parts ila akitoa izo aftermarket anauza Mil 44.Hii chuma sh ngapi
Hii chuma sh ngapi
dooh..nikaze sanaHayo madude used unakuta Mil 20+ ni kwa wapenzi wa pikipiki sio sisi tu aotafuta chombo cha usafiri. Mfano uyu anauza Mil 50 ikiwa na full parts ila akitoa izo aftermarket anauza Mil 44. View attachment 3512955
Huyu chini anauza Mil 25 kama ilivyo. View attachment 3512956
Mtu anatoa milioni 55 kununua pikipiki huku hio pesa kuna mwingine maisha yake yanabadilika kabisa.dooh..nikaze sana
.bila hivyo sibebi iko chuma
Sure mkuu ni pensheni ya mtu..nikiendelea na usenge huu..hii pikipiki sinunuiMtu anatoa milioni 55 kununua pikipiki huku hio pesa kuna mwingine maisha yake yanabadilika kabisa.
Kweli kuishi hatufanani ila pumzi ni ile ile
BMW imekaa poa Sana imefinywangwa vizuriTukiacha specifications za kwenye makaratasi, kati ya hizi chuma tatu ipi kali?
Yamaha YZF R1View attachment 3512798
Honda CBR1000RR Firebrade
View attachment 3512799
BMW S1000RR
View attachment 3512800
Zote cc998, zote speed na acc kali sana.