Weka Picture SasaNamtu kanitumia jamaa yangu toka congo kabla sijaingia sokoni nijue nini macho yangu yanaona malaya garnet au rhodolite japo yeye anasema ruby
😄🤣😄😂😂😁😂😂🔈🔈🔈Hilo ni RUGBY 🏉 na sio RuBI
Hii ni chupa ya whiskey imepasuka 😎Pictures
Inasikitisha sana mkuu 😂Maisha yako huwa ni jumla ya kila jambo unavolichukulia ukitaka kila kitu kukitania utapokua mzee utakuwa kituko chenyewe
Soko ninalo mkuu la arusha mjini liko wazi nilitaka jua ABC maana sijawahi fanya nayo biashara mkuu.je na bei yake kwa size hii 0.5 to 1.2 quality gem ni around sha ngap ,ni ya thaman au miyeyusho maana ingekuwa rhodolite ngechokaRose' garnet... Tuwasiliane
Hazina hiyo mkuuPictures