VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,130
- 2,253
Kiboko yao ni WAHIDAS Ya Tunduru
iyo al saedy kuna siku nilipanda nilifika dar saa tano tumetoka mbeya stend tunafika mwanjelwa dereva anasema gari haina mafuta tukarudi tena stend kuu wakaweka mafuta tunafika mikumi katikati mafuta yakaisha tena
Happy nation ana bus moja inaenda mwanza mwisho wa reli hamna cha yutong wala nn!!inakupita uko kwenye SUV kama unatembea kwa miguu vile!!niliogopa sana
Kuna mashine moja ya Happy Nation nyuma imeandikwa "Voice of Manka". Hicho ni kisu, mwisho wa maneno. Sijajua hiyo scania engine yake ilifanywa nini. Hiyo ndo kiboko ya gari zote za Mbeya, iringa na Songea.
Kusini ni MACHINGA. 2. BUTI LA ZUNGU 3. MANING NICE
huyu nae anajikongoja. mkongwe
Yupo pale iringa kwa MT huwel ana kigari kidogo i.e ki-landcruiser fulani,Ndugu zake walimkataza Asiguse tena Kitu kinaitwa basi la abiria.
Happy nation exp., abood bus.,twiga international coach line., nganga exp.
hapa yu tong ni NEW FORCE. imepitwa NGANGA nayo itaachwa. TWIGA siku hizi amefulia ana basi moja safari si kila siku. sasa hivi ABOOD anaongoza iliyokuwa inaenda Tunduma sasa imepelekwa Mbeya kukazia ligi namba zake ni 297 ATH. then linafuata TWIGA ndo HAPPY. na NGANGA. YUTONG haziwezi ligi na SCANIA hasa kwa MARCOPOLO
Engine ya Isuzu,kwa mujibu wa kondakta. Dar to mby ni 12- 10:30 mpaka kumi na moja.