Wazee wa ligi. Dar - Mbeya

yutong, then scania marcopolo then scania marcopolo, then scania, ni mchuano mkali

mkuu hakuna yutong hapo, ni scania tu! by the way, huyo TWIGA ndio kiboko yao! lakini hizi ligi sio za kuchekelea, ni hatari!
 
MANING NICE na TANDAHIMBA EXPRESS. nao wamo DAR - MTWARA. @ Voice of Mtwara
 
NI YU TONG sio TWIGA INTERNATIONAL COACH LINE. angalia TWIGA kwa nyuma inavyoonekana na rangi zake ni tofauti. @ Green City & Voice of Mtwara
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376566704304.jpg
    21.5 KB · Views: 156
YU TONG hilo la mbele jeupe si Marcopolo TWIGA angalia tofauti
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1376566879854.jpg
    62.4 KB · Views: 155
Kuna mashine moja ya Happy Nation nyuma imeandikwa "Voice of Manka". Hicho ni kisu, mwisho wa maneno. Sijajua hiyo scania engine yake ilifanywa nini. Hiyo ndo kiboko ya gari zote za Mbeya, iringa na Songea.

Nilishapanda siku moja basi hili. I will never try it again. Hilo na Al Saedy BIG NO.
 
Acha waendelee kufaidisha wachawi wa kusini na wajenzi huru.
 
@ mwitu. Kwa hizo ngoma hapo. SUPER FEO haoni ndani. na hilo jeupe la mbele anakaribia kuachwa ni yu tong kama Super feo. Mchina haoni ndani kwa Marcopolo na Scania zilizo nzima kama Happy nation na Nganga
 
Nilishapanda siku moja basi hili. I will never try it again. Hilo na Al Saedy BIG NO.

iyo al saedy kuna siku nilipanda nilifika dar saa tano tumetoka mbeya stend tunafika mwanjelwa dereva anasema gari haina mafuta tukarudi tena stend kuu wakaweka mafuta tunafika mikumi katikati mafuta yakaisha tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…