MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,086
Chief, siku ya kwanza unajilipua.? Siku ya kwanza ni ku have fun to the max na stori zisizokwisha, za kufurahisha ila zisizoelekea kwenye malavidavi moja kwa moja manake huyu ni mtu unaetaka awe rafiki kesho na keshokutwa. Ila jaribu usijisahau kushindwa kuonesha 'nia' kwa vitendo vya kugusa 'kistaarabu" ukijifanya unamnong'oneza kitu au unamuonehsa kitu....la muhimu ni kuhakikisha unapata second date, the rest always will fall into place..!
aaawwwwwwwwwww!i lov it