Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,312
- 65,176
Jando lirudiwe tu Kwa kweliHuyu ashaanza kutangaza hata kabla🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Jando lirudishwe.
Yaani kabla mtoto hajaingia magetoni(kama wanavyoita Vijana), jamaa ameshatangaza Kwa Wana
Kifuatacho akiwa na Wana wapenda deo, Shemeji anakuja kutoa deo la bila kiingilio Kwa Wana 😜🙌