Wazee wa Kuchat, ushawahi kutoa boko kama hii?

Ongeza meseji nyengine chini
"Fanya mpango wa kama 50000 hivi kaka si unajua uyu ndie shemeji wako wa kweli sitakiwi nimwangushe nipo hovyo braza"

Kesi nyepesi sana hii meseji ilikua inaenda kwa rafiki yako au bro wako
 
Nimekumbuka mbali, jamaa alikuwa ananitongoza then nikawa namsimulia shost huku tunamsimanga. Si nikakosea text ya masimango nikamtumia mwenyewe🙆‍♂️ Akanijibu "umekosea msg ukanitumia mimi". Weeeeh niliona aibu nikablock na namba🤣🤣🤣
 
Ungegeuza kibao kuwa ulikuwa unampima kama anakupenda kweli. Ulimkatili mwamba.
 
Ongeza meseji nyengine chini
"Fanya mpango wa kama 50000 hivi kaka si unajua uyu ndie shemeji wako wa kweli sitakiwi nimwangushe nipo hovyo braza"

Kesi nyepesi sana hii meseji ilikua inaenda kwa rafiki yako au bro wako
Tena kwa Jinsi Salma nilivyomwelewa leo atachanganyikiwa hasa na penzi atakalo pata.Mtoto amenimaliza mno moyo wangu😀😀😀
Tuma na nauli ya kueleweka 😀😀
 
Shida sio hilo boko, shida ni kukosa kifua

Miaka ya zamani ikitokea unatembelewa na Manzi magetoni, hata jirani wa Chumba cha pili hawezi kujua

Mtoto ataingizwa usiku Mnene, na atatolewa usiku Mnene pia

Wakati wa mambozi akiwa anajua kuililia basi, basi tunafungulia redio mkulima Kwa sauti ya juu ili kufuta ushahidi 🤗

Mwaka 47
 
Huyu ashaanza kutangaza hata kabla🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Jando lirudishwe.
 
Back
Top Bottom