BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Wamuulize mzee makamba
Sijui kama huwa anasikia yule jamaa
Kiburi cha Ndugai is unprecedented kwa kiongozi wa uma.Lakini who did not foresee this coming?Mnakumbuka what happened wakati wa kinyang'anyiro cha ubunge kwenye jimbo lake?Sina haja ya kukumbushia, nadhani wafuatiliaji wa mambo watakuwa wanakumbaka.Kwangu Mimi tukio lile baya kabisa lilitosha kabisa kumuengua Ndugai kwenye kinyang'anyiro kile cha ubunge and consequently utumishi wa uma of such a high profile kama Uspika.Tulipiga kelele sana hapa JF,lakini nobody listened to us.Sasa,the real him is coming to the open,tusilalamike.Amuulize mudhihir
ulevi wa madaraka mbaya sana
Safi sana....haya ndo majitu yanayopaswa kufa kabisa maana hayana faida zaidi ya ukandamizaji.....Lilivyo na kibri bado litaendelea kumuandama ZITTO
AmeenTunakoelekea lazima tuheshimiane.
Umejiunga lini humu?Hawajielewi hao wazee naona wana washwa washwa sijui wamekalia upupu
hapa kazi tu au pah pah pah
Tumuombee kwa Mungu ya kuelekea kule aliko yeye.Tumuuombee Mh Ndugai. hekima hekima na Mungu ashushe kibri chake.
Kaptura lake limemdondoka,aliyeliokota ampelekeeViongozi wetu wanajifanya kama "vimungu watu"
Ndugai itafute hekima popote ilipo.
Hao wasiojulikana hawakujua kwamba nao hawataishi kwa raha tena...[https://3]
Wazee wa Kigoma wakiwakilishwa na Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee ya Chama cha ACT Wazalendo, Alhaj Jaffar Kasisiko wamesikitishwa na kauli aliyotoa Spika Ndugai kuwa anaweza kumzuia Zitto Kabwe asiongee chochote mpaka ubunge wake utakapokwisha.
Wazee hao wanasema kitendo cha Spika kumzuia Zitto Kabwe kuongea bungeni ni sawa na kuwazuia wao wasiongee na shida zao zisiweze kutatuliwa na kudai inaonekana hiyo kauli imeshafanyiwa kazi na kitendo cha kumwita Zitto kwenye Kamati ni sawa na kupoteza muda tu na kudai jambo hilo halimtendei haki kijana wao Zitto Kabwe na wao wenyewe.
Aidha wazee hao wamemtaka Spika Job Ndugai na viongozi wengine wasiwe na kibri na watazame mambo ambayo yanawaonganisha kwa pamoja.
.
NB: kuna tafsiri gani kwa sasa watu kutoa matamko na baadhi kuchukua maamuzi ya kuwashtakia watesi wao kwa Muumba kwa njia mbali mbali ziwe ni za kidini, kimila, kishirikina nk huku wakiachana na njia zilizooeleka za kisheria kama za kipolisi na kimahakama?
Saiv ni mwendo wa kupigana vipapai tu..nchi inachosha saana hii
Hatari hiyo!!!Saiv ni mwendo wa kupigana vipapai tu..nchi inachosha saana hii