mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,402
Ndio, ni Uchawi, hira na husuda
unamaanisha nini mkuu[emoji15]luck Vincent haikuwa ajali
Mkuu hata mimi nimejiuliza. Nadhani anamaanisha Wazeewa ACT Kigoma. Hata hivyo nisiseme sana hata kwetu kuna wazee na hawahojiwi hojiwi.Ina maana wazee wote kigoma ni wanachama wa ACT-wazalendo??