Geofrey Maseta JF-Expert Member
Nilichosikia kipindi Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya ni mkuu wa mkoa wa Kigoma alijaribiwa na wazee wa mji wa Kigoma kwa kuning'iniza balaghashia hewani na makoti yao ..mfipa yule ( Mzee Mzindakaya ) alichowafanyia wale wazee ni kuwaambia wainuke kwenye viti lkn wale wazee walishindwa kuinuka ...na Mzindakaya kuibuka kidedea ...mkuu wafipa ni habari nyingine kabsa kwa hapa Tz Source: Naomba kujua Historia ya Demo walizoonyeshana hayati Rajab Mbhano v/s Chrisant Mzindakaya.
SAKATA la mradi wa ujenzi wa bwawa la Kawa lililopo ndani ya Ranchi ya Nkundi iliyo chini mwakezaji mzalendo Dk. Chrisant Mzindakaya limechukua sura mpya baada ya mwekezaji huyo kutishia kuirejeshea Serikali fedha zake kiasi cha Sh. Bilioni 1.09 iliyotoa kwaajili ya ujenzi wa mradi.
MZINDAKAYA ATISHIA KUJITOA UWEKEZAJI BWAWA LA KAWA-SUMBAWANGA - TABIANCHI
Hahaha hakuna namna, watu wamechokaSaiv ni mwendo wa kupigana vipapai tu..nchi inachosha saana hii
Bro inaonekana huwajuii vizuri WAZEE WA CHIGOMA.......!!!Hawajielewi hao wazee naona wana washwa washwa sijui wamekalia upupu
hapa kazi tu au pah pah pah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa pah pah pah
Kwa uandishi huu wewe ndio mrundiZitto ni Mtanazania au Mburundi?
WirelessSaiv ni mwendo wa kupigana vipapai tu..nchi inachosha saana hii
Hiv kisa cha mudhihiri kilikuwaje hadi mkono ukakatikaAmuulize mudhihir
Umeongea point japo umeandika kimanikinikia sio mbaya huenda upo kilaji....tatizo la Ndugu Gai ni kufikiri kuwa Wabunge wako Bungeni na si wawakilishi wa Wananchi walio wachagua. Kwa sababu yeye ni Supika, haoni dhana ya Uwakilishi kwa sababu hasiami kuwasemea walomchagua. Ubunge ulukuwa NGAZI ya kukwea juu.
Ifike wakati sasa Katiba itenganishe kazi za Wabunge na madaraka mengine kama U-Supika, Uwaziri, U-RC na majukumu mengine yasiyokuwa ya Kibunge..
Mkuu unajua ni nani aliyewasababishia huo umaskini?Sio wazee hao, ni wahuni wa ujiji wanaotegemea ndumba kuishi wakiwa wamezingirwa na umaskini wa kiwango cha hali ya juu