JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,201
Tunakaribia kuona nani zaidi, wanadai hata ndugai siyo wa sport sport.Amuulize mudhihir

hahahahhha halafu wangefanya demo basi tuone.... ahhhh!!!Saiv ni mwendo wa kupigana vipapai tu..nchi inachosha saana hii
Huko Meru wazee wanavunja Chungu jumapili.Saiv ni mwendo wa kupigana vipapai tu..nchi inachosha saana hii
Nadhani Mzee wa MCHINGA anamkumbuka vizuri ZZK alivyomtengeneza.....![]()
Wazee hao wanasema kitendo cha Spika kumzuia Zitto Kabwe kuongea bungeni ni sawa na kuwazuia wao wasiongee na shida zao zisiweze kutatuliwa na kudai inaonekana hiyo kauli imeshafanyiwa kazi na kitendo cha kumwita Zitto kwenye Kamati ni sawa na kupoteza muda tu na kudai jambo hilo halimtendei haki kijana wao Zitto Kabwe na wao wenyewe.
Aidha wazee hao wamemtaka Spika Job Ndugai na viongozi wengine wasiwe na kibri na watazame mambo ambayo yanawaonganisha kwa pamoja.
Chanzo.EATV
My take.
Ndugai kuwa makini usiwaudhi hao wazee wa kigoma,ukiwaudhi wakakasilika tafadhali usiwalaumu.
=====
Wazee wa Chama cha ACT Wazalendo, Mkoa wa Kigoma, endapo Spika wa Bunge, Job Ndugai atatekeleza azma ya kumkataza Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kuzungumza bungeni watamshtakia Mungu.
Pamoja na mambo mengine, wazee hao wamesema wamesikitishwa na kauli hiyo ya Spika na wamemruhusu Zitto kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge baada ya kumsikiliza kwa kina na kujiridhisha.
“Baada ya kusikia kauli za Spika dhidi ya Zitto, tulihitaji kufahamu sababu na kiini cha tatizo lililotokea, hivyo tulimuomba kijana wetu kurejea nyumbani Kigoma kuja kutueleza kabla ya kwenda kwenye kamati ili tupate fursa ya kufahamu kilichotokea,” imesema sehemu ya taarifa ya wazee hao.
Kwa mujibu wa taarifa yao waliyoitoa leo Septemba 15, wazee hao wamekwenda mbali zaidi kwa kusema kitendo cha Spika kutoa kauli ya kumzuia Zitto kuzungumza katika kipindi chote cha ubunge wake ni kuwazuia wao na wananchi wa Kigoma kusemewa ndani ya bunge.
“Kitendo cha Spika kutoa kauli hiyo kinaashiria kwamba ameshamhukumu mbunge na kiongozi wetu, kwa hivyo kuitwa kwake kwenye kamati ni kupoteza wakati tu, jambo hili halimtendei haki kijana wetu na halitutendei haki sisi wazee tunaomtegemea atusemee.
“Tumesikitishwa na kauli za Spika Ndugai kwani siku zote sisi wazee wa Kigoma tumekuwa tukimuona na kumchukulia Job kama alivyo mtoto wetu Zitto, wawili hawa wamekuwa na mahusiano mema hata kufikia hatua ya kushiorikiana kwa karibu kwenye mazishi ya mama zao,” wamesema wazee hao.
Spika Ndugai alitoa kauli ya kutishia kumzuia Zitto bungeni kwa kipindi chote cha ubunge wake na asiende popote wakati akizungumza bungeni wiki hii kwa kile alichodai Zitto amemdhalilisha Spika na Bunge kuhusu ripoti ya Tanzanite na Almasi kuwasilishwa serikalini.
View attachment 588885
Umeniwahi tu nilitaka kusema hivyo hivyoAmuulize mudhihir
Ndugai asicheze na wazee,amuulize Mudhihir yuko wapi,anaowategemea atawaacha wakila alivyowaandalia naye atakuwa mtu wa ,,,,,,,muda utasema tuTunaposema watu ni watulivu halafu hamna Amani tunaonekana wachochezi.
Haya sasa wazee wameanza kunguruma.
Umeona eeh! Dalili zinaonesha North Korea naye anajipanga kwa 'nyuklia' na jando la kitabuTunakoelekea lazima tuheshimiane.
ivi yupo wapi siku hiziAmuulize mudhihir
Unategemea kuheshimiwa na nani? Wakati wewe ni mtukutu uliyetukuka!Tunakoelekea lazima tuheshimiane.
Du mwka huu![]()