vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Lete story za siku ilivyokwenda
Leo niko off. Naangalia dada poa wanavyojinadi hapa Meeda. Mtoa mada uko kwenye lindo wapi ?
Mleta uzi mbona umedozi sasa?
Kaka unakuja kuuzia mkaa wako Dar ni book gunia moja ?Nipo minjingu naandaa matanuri ya mkaa huku nikipakia magunia ya mkaa kuyaleta mjini.
Unajishebedua
wazee wa patrol...
Nipo minjingu naandaa matanuri ya mkaa huku nikipakia magunia ya mkaa kuyaleta mjini.
Hapo ni kwa mheshimiwa gani ? Amelala ndani na waif au hajarudi kama wakubwa wenzie wanavyofanya, kuwwaacha ma waif ndani na kupona kwa madada poaNalinda hapa jua kali villla
Mi nimetoka bafun na mama enu mdogo tunataka tupumzike msipige kelele...
Mi nimetoka bafun na mama enu mdogo tunataka tupumzike msipige kelele...
Kaka unakuja kuuzia mkaa wako Dar ni book gunia moja ?
Niko stakishari hapa naangalia uwezekana na mie nijitwalie angalau ka bastora bila kumwaga damu.