Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,469
Nipo igo apa wazee nakula Heineken za 2500
Chimbo langu uko hapo kwa hao wahudum akina jacky, somoe he he!
Nipo igo apa wazee nakula Heineken za 2500
Chimbo langu uko hapo kwa hao wahudum akina jacky, somoe he he!
Kweli ngoma ya watoto haikeshi
HAHAHAH... AFADHALI UMEJISEMA, LEO LORI LAKO HALIKATIZI KIZUIZI CHA MAKUYUNI.... NITAJIE REGISTRATION NUMBER YAKE TAFADHALI...:coffee:Nipo minjingu naandaa matanuri ya mkaa huku nikipakia magunia ya mkaa kuyaleta mjini.
Niko makaburini muda huu napiga chabo maiti zinavyotifuana tena style zote unafikiri hazijafa
Ha ha haaa,angalia usidindishe tu
Hahhahaaaaa nikindindisha natafuta moja bomba naipelekea moto