BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 7,969
- 20,013
ππππππππ
Keep suckingWazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao leo Desemba 2, 2025.
Mbali na hilo, Rais Samia atatumia jukwaa hilo kulihutubia Taifa juu ya masuala mbalimbali yanayolihusu Taifa
Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao leo Desemba 2, 2025.
Mbali na hilo, Rais Samia atatumia jukwaa hilo kulihutubia Taifa juu ya masuala mbalimbali yanayolihusu Taifa
Naunga mkono hojaWajumbe wa ccm hao choka mbayaa hapo wanajiandaa kupiga makofi kusubiri posho ya nauli...hahahhaaa ccm bila ulaghai haiwezekani!.
Obvious ni vizee vya upande ulee tu wa BAKWATA ndio vimejazana humo.Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao leo Desemba 2, 2025.
Mbali na hilo, Rais Samia atatumia jukwaa hilo kulihutubia Taifa juu ya masuala mbalimbali yanayolihusu Taifa
Hao wazee wanasubilia kujifia tuWENDA GEN Z haijawajua wazee wa jiji? π π