PostGE2025 Wazee wa Dar es Salaam wakisubiri kumsikiliza Rais Samia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao leo Desemba 2, 2025.

Mbali na hilo, Rais Samia atatumia jukwaa hilo kulihutubia Taifa juu ya masuala mbalimbali yanayolihusu Taifa

588946721_18516115846068597_1480550256922980092_n.jpg
588478080_18516115825068597_5375713664440967283_n.jpg
588628921_18516115834068597_6821493478915999367_n.jpg
 
Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao leo Desemba 2, 2025.

Mbali na hilo, Rais Samia atatumia jukwaa hilo kulihutubia Taifa juu ya masuala mbalimbali yanayolihusu Taifa

Yanasubiri baadaye yapigwe posho,haya ni manachama ya terrorist organization
 
Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao leo Desemba 2, 2025.

Mbali na hilo, Rais Samia atatumia jukwaa hilo kulihutubia Taifa juu ya masuala mbalimbali yanayolihusu Taifa

Hakuna wazee wa maana hapo. Ni makada wahuni wa CCM wamepewa elfu 10 waje kujaza ukumbi.

Hakuna lolote hapo
 
Back
Top Bottom