Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,616
- 287,336
Napinga ! Tumbo gani linaweza kujaa kwa kikopo kimoja cha fanta bhana !dar es salam hakuna wazee wengi wao ni wachumia tumbo tu
Napinga ! Tumbo gani linaweza kujaa kwa kikopo kimoja cha fanta bhana !dar es salam hakuna wazee wengi wao ni wachumia tumbo tu
"Sasa unaingia mkoa wa Mara". Hakuna "Karibu". Handsome wetu hayawezi hayo.
"Sasa unaingia mkoa wa Mara". Hakuna "Karibu". Handsome wetu hayawezi hayo.
Nimecheka sana !Asilimia kubwa ya HAWA WAZEE WOTE NI MASKINI WAKUPWA
Kama wewe si mwanaccm basi wewe si mtanzania-This is JK definition.Sijajua masuala mazito yahusuyo hatima ya nchi yetu kupitia mchakato wa Katiba mpya kuzungumzwa kwa "wazee wa CCM wa Dar es Salaam!" Najua baadhi yenu mtasema kuwa Rais alikuwa anaongea kwa Taifa zima lakini implication iliyoonekana imekaa kichama zaidi kuliko kitaifa!
Hivi nchi hii imebaki ya hawa wazee wa DSM tena wa CCM au namna gani? Si ingekuwa ni vema Rais angeandaa kipindi ambacho watu wengi wangeshiriki tena kwa kuuliza maswali, kuliko kuhutubia hao wazee ambao wengi wao walikuwa wamelala usingizi na kushtuka baadhi yao wakiwa wanapiga makofi!
Sasa unaingia mkoa wa Mara .[/Q/]ACHENI UONGO NA UZUSHI WEKA PICHA YA HICHO KIBAO.MAJUNGU NA UZUSHI TU NDO ZENU
Sema ni WAZEE WAISLAMU WA CCM DAR ES SALAAM Wanakula KODI ZA WATU ISIVYO RASMI.
Wazee wa Unguja na wazee wa Pemba nao wanataka haya mazungumzo na Mkulu, kila siku Tanganyika tu na huku Zanzibari aje.