Wazee wa jogging matembezi ya mshikamano msijizime data jana kiketwe kawajibu CCM itashinda chaguzi 2025-30 na kuendelea

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,180
16,176
Mzee kikwete jana nafasi chache aliyoipata aliitumia hiyo hiyo kumjibu kiongozi wa matembezi aliyemwambia mzee kikwete abaki msoga sio kila safari ya raisi yeye yupo pembeni,
Kikwete akachombeza anaona kuna watu wanajisumbua kupiga soga CCM itashinda chaguzi zote kuanzia ya 2025 mpaka kwa maana ya milele!.......
Wazee wa matembezi mnapoteza muda na fedha kidogo mlizo nazo Lowassa kishakwenda sabodo hayupo!
 
Back
Top Bottom