Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,843
- 10,768
Kijana wangu ni mtaalamu wa Java script, python kwa kiasi. Kapata direct entry DIT.Last born la mzee limepiga division one ya point nane form four. Tukalikalisha chini tukalipa semina elekezi kuhusu ueleko wa maisha sasa hivi. Tukakubaliana advance ni kupoteza muda na nguvu.
Tukalinunulia Laptop nzuri, likaanza kujifunza coding. Tayari MUST wamelichagua likapige computer science. Tunasikilizia na DIT pia.
Ukitaka kuona kama advance panafaa au hapafai, mlinganishe mtu aliemaliza advance na mtu aliemaliza diploma. Wa diploma anaqualify kuingia kwenye soko la ajira. Huyo wa advance hata tempo za kufundisha siku hizi hawapati.
Tuwekeze kwenye kuwapa utaalam hawa watoto. Sio kuwachelewesha kwenye mlolongo mrefu wa elimu usio wa lazima.