Pia hawa madogo ambao bado akili zao hazijawa polluted na mambo ya dunia, wanakua na uwezo mzuri wa kuconcentrate na specific skills. Wanakua na njaa sana ya kujifunza kama akikipenda kitu.
Kuna dogo la sista linafanya mtihani wa darasa la saba. Likirudi tu na lenyewe linaanza coding. Mpaka likifika form four, tayari litakua limekwiva kwelikweli.
Na hao wanaosema diploma ni kwaajili ya vilaza, ni wajinga fulani ambao hawako updated na applications za sasa hivi za chuo. Vyuo vya afya vya serikali, kama una division one ya kumi na nne hupati.
Hivyo ni vya mikoani ndani ndani huko. Pale MUHAS, kupata nafasi diploma ni mpaka uwe na one ya saba au nane. One ya tisa labda ubahatike tu.
Dogo langu alipiga one ya saba form two, na ya nane form four. Anaenda kukiwasha computer science MUST au DIT. Acha watu waendelee kupoteza muda advance!