Wazazi wafunzeni watoto usafi

Wazazi wafunzeni watoto usafi

Mimi hiyo Hali nilikuta Kwa dada yangu. Kesho yake nilipo amka tu nikatoa Kila kitu Nje nikafanya usafi wa nguvu sema kunguni hawakuwemo. Waliporudi walikuta Hadi shuka nimefua.

Muda huo dada anasema baba yake Wala hawaambii unaona Sasa mjomba wao jinsi anavyojari usafi.

Walipotoka shule niliwaambia kuwa anko uchafu sio diri haya mnayo fanya hapa kwenu hata ukienda wapi utaishi hivihivi nikamwambia mkubwa wao maana walikuwa3 jipangieni ratiba Kila jpili shuka zifuliwe Kwa zamu atakae kaidi mwambie dada ama baba yenu.

Nikamwambia Mimi mchafu kiasi hiki hawezi ishi kwangu japo Nami maisha yalikuwa yakupanga tu kipindi hicho.
Hii safi, sio kama mtoa mada
 
Wasalam...
Jana, juzi na majuzi niliitwa na ndugu huko mbezi..
Japo wao kidogo wapo vizuri yaani ni wa kishua kiufupi.

Kama kawaida mgeni wa kiume basi utakua temporary chumba cha watoto wa kiume..

Wa ndugu nilishangaa sana nikichokutana nacho mule ndani..
Hawa vijana ni WACHAFU ni wachafu sijapata kuona toka nizaliwe..

Wakitoka nje ni watu watanashati kabisa ila mazingira ya ndani hapana kwa kweli.

Toka juzi nashinda na simu tu mda wote kuchart maana hapalaliki kuna harufu za ajabu ajabu.

Na wazazi wao wenyewe wamekausha tuu..
.hivi ndugu zangu najua humu kuna wazazi wa namna hiyo..

Jaribuni kulea watoto katika tabia ya usafi wajue personal hygiene..

Leo hii jumba kubwa kila kitu safi alafu unakutana na kesi ya kunguni... Serious kunguni..
Kitu ambacho nilijua nishamalizana navyo huko boarding school..
.
Hii imeniuma sana najua kuna mmoja yupo humu soma hii alafu fanya kuwakemea vijana wako najua sio wa kiume tu mpaka wa kike .

Na tabia ipo sana kwa hawa wakishua ambao wanalelewa kimayai unakuto toto la form 2 hata kufua halijui..

Shame on you
shame upon you
Huko vijijini watotot hata kuoga hawafundishwi. Sijui wanapolala pakoje.
 
Yaani unategemea kuhemea kwa ndugu halafu unawasimanga

Kenge kweli wewe
 
Hao sio wa kishua mzee au ww mtu akihakuwa na nyumba ni wa kishua...alafu ni vema ungewaambia tu kuliko kuja kuwasimanga humu.
 
Nunua sabuni ya unga, nunua sabuni ya maji, kusanya nguo zao zote fua.

Osha hicho chumba, hadi magodoro anika nje

Jioni waambie siku nikirudi hapa nikute pako hivi hivi.

Unless otherwise na wewe ni kama wao.
 
Mimi hiyo Hali nilikuta Kwa dada yangu. Kesho yake nilipo amka tu nikatoa Kila kitu Nje nikafanya usafi wa nguvu sema kunguni hawakuwemo. Waliporudi walikuta Hadi shuka nimefua.

Muda huo dada anasema baba yake Wala hawaambii unaona Sasa mjomba wao jinsi anavyojari usafi.

Walipotoka shule niliwaambia kuwa anko uchafu sio diri haya mnayo fanya hapa kwenu hata ukienda wapi utaishi hivihivi nikamwambia mkubwa wao maana walikuwa3 jipangieni ratiba Kila jpili shuka zifuliwe Kwa zamu atakae kaidi mwambie dada ama baba yenu.

Nikamwambia Mimi mchafu kiasi hiki hawezi ishi kwangu japo Nami maisha yalikuwa yakupanga tu kipindi hicho.
Hongera sana

Leading by example
 
HAO WATOTO WANGEKUWA NA YESU NDANI YAO WANGEKUWA SMART MDA WOTE

YESU KRISTO HUMBADILISHA MTU NA KUMFANYA MSAFI WA KIMWILI MPAKA AKILI.

FEDHA BILA YESU NDIO MATOKEO YAKE HAYA

Ili tusichanganye mada,
Naomba mstari tafadhali ni wapi Yesu amefundisha watu kuoga
 
Umeenda sehemu, unakuta watu wanaishi maisha Yao waliyozoea.... Unajitia ujuaji na kuweka principles zako hapo...

Nani kakutuma uende???... Si shida zako ndo zimekupeleka hapo??...

Kama huwezi kuishi maisha Yao waliyozoea.... Achana nao na ondoka zako....

Ulichokisema humu ni umbea na unafiki....

Aseeeeeee!!!!!!
 
Wajomba tena!!!

Mjomba hawezi kukuacha hivi hivi kizembe lazima akuchangamshe kidogo, kuna mjomba wangu mmoja alikuaga mkuda *******, muda woote anataka ufuate sheria zake za kikoloni.

Tegea sana sindano kwenye godoro lake, usiku kucha analala anachomwa na sindano lakini haagi kuondoka kma yule 🤣

Ikifika saa mbili dingi amerudi kutoka kazini yupo sebuleni, kanajipigisha stori mbili tatu na dingi halafu unasikia ankooo!!! Lete madaftari yako bwana🤣 (madaftari we mwalimu ?? Muda wote tulikua hapa hujaulizia, dingi karudi ndio unaanza stori za madaftari, hapo najisemea kimoyo moyo)

Na usiombe siku hiyo Dingi lirudi limelewa, siku hiyo utakula mabanzi tu ya kichwa.
Hatuwezi fanana mkuu Mimi kati ya Watoto ninao ishi nao kishikaji ni wajomba ila Watoto wa kaka zangu naishi nao kama wanangu wakizingua tu Mimi na wao. Wajomba hata baba Yao aniambie uwe unawapiga hizo nguvu Sinaga ila Watoto wa mambo chap tu kashakula stick
 
Back
Top Bottom