Wazazi wafunzeni watoto usafi

Wazazi wafunzeni watoto usafi

Fundi manyumba 01

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
3,799
Reaction score
8,117
Wasalam,

Jana, juzi na majuzi niliitwa na ndugu huko Mbezi. Japo wao kidogo wapo vizuri yaani ni wa kishua kiufupi.

Kama kawaida mgeni wa kiume basi utakua temporary chumba cha watoto wa kiume.

Wa ndugu nilishangaa sana nikichokutana nacho mule ndani.
Hawa vijana ni wachafu sijapata kuona toka nizaliwe.

Wakitoka nje ni watu watanashati kabisa ila mazingira ya ndani hapana kwa kweli.

Toka juzi nashinda na simu tu mda wote kuchart maana hapalaliki kuna harufu za ajabu ajabu.

Na wazazi wao wenyewe wamekausha tu. Hivi ndugu zangu najua humu kuna wazazi wa namna hiyo.

Jaribuni kulea watoto katika tabia ya usafi wajue personal hygiene.

Leo hii jumba kubwa kila kitu safi alafu unakutana na kesi ya kunguni. Serious kunguni, kitu ambacho nilijua nishamalizana navyo huko boarding school.

Hii imeniuma sana najua kuna mmoja yupo humu soma hii alafu fanya kuwakemea vijana wako najua sio wa kiume tu mpaka wa kike.

Na tabia ipo sana kwa hawa wakishua ambao wanalelewa kimayai unakuto toto la form 2 hata kufua halijui.

Shame on you
Shame upon you
 
HAO WATOTO WANGEKUWA NA YESU NDANI YAO WANGEKUWA SMART MDA WOTE

YESU KRISTO HUMBADILISHA MTU NA KUMFANYA MSAFI WA KIMWILI MPAKA AKILI.
HAO WATOTO WANGEKUWA NA YESU NDANI YAO WANGEKUWA SMART MDA WOTE

YESU KRISTO HUMBADILISHA MTU NA KUMFANYA MSAFI WA KIMWILI MPAKA AKILI.
Yuda jua kutofautisha usafi wa mwili na roho na wewe
 
Kunguni tena?Aaaa hiyo ngumu kuvumilia.Ukimuua mmoja hutoa harufu mbaya kuliko mbaya yenyewe. Mmmmhfff!
Mkuu mwanzoni nilijua mende mtoto sasa ili kumsaga nakuta harufu yenyewe wallah nikaamka nikaa chini kabisa usingizi ukakata aiseee.

Hapo kuna jamaa pembeni yangu anakoroma nilitamani hata na yeye nimpige vibao aiseee
 
Mimi hiyo Hali nilikuta Kwa dada yangu. Kesho yake nilipo amka tu nikatoa Kila kitu Nje nikafanya usafi wa nguvu sema kunguni hawakuwemo. Waliporudi walikuta Hadi shuka nimefua.

Muda huo dada anasema baba yake Wala hawaambii unaona Sasa mjomba wao jinsi anavyojari usafi.

Walipotoka shule niliwaambia kuwa anko uchafu sio diri haya mnayo fanya hapa kwenu hata ukienda wapi utaishi hivihivi nikamwambia mkubwa wao maana walikuwa3 jipangieni ratiba Kila jpili shuka zifuliwe Kwa zamu atakae kaidi mwambie dada ama baba yenu.


Nikamwambia Mimi mchafu kiasi hiki hawezi ishi kwangu japo Nami maisha yalikuwa yakupanga tu kipindi hicho.
 
Mimi hiyo Hali nilikuta Kwa dada yangu. Kesho yake nilipo amka tu nikatoka Kila kitu Nje nikafanya usafi wa nguvu sema kunguni hawakuwemo. Waliporudi walikuta Hadi shuka nimefua.

Muda huo dada anasema baba yake Wala hawaambii unaona Sasa mjomba wao jinsi anavyojari usafi.

Walipotoka shule niliwaambia kuwa anko uchafu sio diri haya mnayo fanya hapa kwenu hata ukienda wapi utaishi hivihivi nikamwambia mkubwa wao maana walikuwa3 jipangieni ratiba Kila jpili shuka zifuliwe Kwa zamu atakae kaidi mwambie dada ama baba yenu.


Nikamwambia Mimi mchafu kiasi hiki hawezi ishi kwangu japo Nami maisha yalikuwa yakupanga tu kipindi hicho.
Mkuu si bora wewe pale nahusi washakubuhu sasa aiseee..

Kile chumba kama karakana aiseee hakitamaniki kabisa...

Na wenyewe wanalala kuna jamaa mwingine mule ni ticha kabisa aiseee
 
Mkuu si bora wewe pale nahusi washakubuhu sasa aiseee..

Kile chumba kama karakana aiseee hakitamaniki kabisa...

Na wenyewe wanalala kuna jamaa mwingine mule ni ticha kabisa aiseee
Uchafu ni tabia ya mtu hata akiwa Dr nimesoma na Chali mmoja tulikuwa tunaishi geto asee acha kabisa. Kutokuoga wiki nzima ni kawida kabisaa licha pale tulikuwa tunaishi Kuna kisima! Kwa Sasa ni Doctor na ameoa sijui kama kabadirika na alikuwa anazidi umri.

Mtu ananuka lkn Bado yupo hai
 
Back
Top Bottom