Fundi manyumba 01
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,117
- Thread starter
- #21
Yuda kuna mda anakua na mavi kichwaniNa YESU bila FEDHA, Matokeo ni nini??
#YNWA
#YANGA_BINGWA

ungewakemea hao watoto mpaka mbele ya wazazi wao, ungekua umetekeleza wajibu wako vizuri mno, na kwakweli ungekua shujaa, wangekuheshimu sana na kamwe wasingekusahau..Wasalam...
Jana, juzi na majuzi niliitwa na ndugu huko mbezi..
Japo wao kidogo wapo vizuri yaani ni wa kishua kiufupi.
Kama kawaida mgeni wa kiume basi utakua temporary chumba cha watoto wa kiume..
Wa ndugu nilishangaa sana nikichokutana nacho mule ndani..
Hawa vijana ni WACHAFU ni wachafu sijapata kuona toka nizaliwe..
Wakitoka nje ni watu watanashati kabisa ila mazingira ya ndani hapana kwa kweli.
Toka juzi nashinda na simu tu mda wote kuchart maana hapalaliki kuna harufu za ajabu ajabu.
Na wazazi wao wenyewe wamekausha tuu..
.hivi ndugu zangu najua humu kuna wazazi wa namna hiyo..
Jaribuni kulea watoto katika tabia ya usafi wajue personal hygiene..
Leo hii jumba kubwa kila kitu safi alafu unakutana na kesi ya kunguni... Serious kunguni..
Kitu ambacho nilijua nishamalizana navyo huko boarding school..
.
Hii imeniuma sana najua kuna mmoja yupo humu soma hii alafu fanya kuwakemea vijana wako najua sio wa kiume tu mpaka wa kike .
Na tabia ipo sana kwa hawa wakishua ambao wanalelewa kimayai unakuto toto la form 2 hata kufua halijui..
Shame on you
shame upon you
Kweli uchafu ni kama kipaji hivi an ni talanta sio kila mtu anayo.Uchafu ni tabia ya mtu hata akiwa Dr nimesoma na Chali mmoja tulikuwa tunaishi geto asee acha kabisa. Kutokuoga wiki nzima ni kawida kabisaa licha pale tulikuwa tunaishi Kuna kisima! Kwa Sasa ni Doctor na ameona sijui kama kabadirika na alikuwa anazidi umri.
Mtu ananuka lkn Bado yupo hai
PdidyWasalam...
Jana, juzi na majuzi niliitwa na ndugu huko mbezi..
Japo wao kidogo wapo vizuri yaani ni wa kishua kiufupi.
Kama kawaida mgeni wa kiume basi utakua temporary chumba cha watoto wa kiume..
Wa ndugu nilishangaa sana nikichokutana nacho mule ndani..
Hawa vijana ni WACHAFU ni wachafu sijapata kuona toka nizaliwe..
Wakitoka nje ni watu watanashati kabisa ila mazingira ya ndani hapana kwa kweli.
Toka juzi nashinda na simu tu mda wote kuchart maana hapalaliki kuna harufu za ajabu ajabu.
Na wazazi wao wenyewe wamekausha tuu..
.hivi ndugu zangu najua humu kuna wazazi wa namna hiyo..
Jaribuni kulea watoto katika tabia ya usafi wajue personal hygiene..
Leo hii jumba kubwa kila kitu safi alafu unakutana na kesi ya kunguni... Serious kunguni..
Kitu ambacho nilijua nishamalizana navyo huko boarding school..
.
Hii imeniuma sana najua kuna mmoja yupo humu soma hii alafu fanya kuwakemea vijana wako najua sio wa kiume tu mpaka wa kike .
Na tabia ipo sana kwa hawa wakishua ambao wanalelewa kimayai unakuto toto la form 2 hata kufua halijui..
Shame on you
shame upon you
Mkuu unajua wana maneno sana hii familia an wanaweza kukufanya mpaka ukahisi umefanya kosa kubwa sana na maneno yatafika mbali mno..ungewakemea hao watoto mpaka mbele ya wazazi wao, ungekua umetekeleza wajibu wako vizuri mno, na kwakweli ungekua shujaa, wangekuheshimu sana na kamwe wasingekusahau..
Na hata siku zingine ungewatembelea, wakikuona tu wangeenda kusafisha chumba chao hata kama ni kisafi tayari kwa kukuheshimu na kukutambua kwamba hupendi uchafu na huna mzaha na watu wachafu 🐒
Mkuu hatarerr nimekesha olmost siku mbiliHatari sana
Kaingiajr hapa mkuuPdidy
Jamaa yangu ukimwambia Leo huogi mkuu anasema nitaoga kesho nikitoka shule tu kesho haiishi akikuona wewe unaenda kuoga anakuuliza huoni baridi wewe?Kweli uchafu ni kama kipaji hivi an ni talanta sio kila mtu anayo.
Kuna mwanangu mmoja hv aisee huyu sisemi sana maana hapa jf kuna wanangu sana ila ni shame upon him aiseee
Katawa unachukulia mambo rahisi sana sio...Mkuu fanya hivi
Kodi watu wawili na wewe uwe wa tatu,mapema kabisa fika hapo kwa wapwa wako siku ambayo siyo ya kazi ukijua wote watakuwepo.
Waamshe waambie ukweli kuwa wao ni wachafu umekodi watu kuja kufanya usafi wa chumba wanacholala wao.
Fanyeni usafi pangeni vitu vizuri then ondoka.Nakuhakikishia wataanza kubadilika
Japo umeongea kwa kusikitika ila wahenga tumefurahi kuona angalau bado utamaduni wa kiumeni unadumishwa.Wasalam...
Jana, juzi na majuzi niliitwa na ndugu huko mbezi..
Japo wao kidogo wapo vizuri yaani ni wa kishua kiufupi.
Kama kawaida mgeni wa kiume basi utakua temporary chumba cha watoto wa kiume..
Wa ndugu nilishangaa sana nikichokutana nacho mule ndani..
Hawa vijana ni WACHAFU ni wachafu sijapata kuona toka nizaliwe..
Wakitoka nje ni watu watanashati kabisa ila mazingira ya ndani hapana kwa kweli.
Toka juzi nashinda na simu tu mda wote kuchart maana hapalaliki kuna harufu za ajabu ajabu.
Na wazazi wao wenyewe wamekausha tuu..
.hivi ndugu zangu najua humu kuna wazazi wa namna hiyo..
Jaribuni kulea watoto katika tabia ya usafi wajue personal hygiene..
Leo hii jumba kubwa kila kitu safi alafu unakutana na kesi ya kunguni... Serious kunguni..
Kitu ambacho nilijua nishamalizana navyo huko boarding school..
.
Hii imeniuma sana najua kuna mmoja yupo humu soma hii alafu fanya kuwakemea vijana wako najua sio wa kiume tu mpaka wa kike .
Na tabia ipo sana kwa hawa wakishua ambao wanalelewa kimayai unakuto toto la form 2 hata kufua halijui..
Shame on you
shame upon you
Huyo wewe sasa mimi nisipooga mkuu sina amani kabisa an nakua mnyonge hata ofisini hakukalik na wala sina jasho la kunka hivJamaa yangu ukimwambia Leo huogi mkuu anasema nitaoga kesho nikitoka shule tu kesho haiishi akikuona wewe unaenda kuoga anakuuliza huoni baridi wewe?
Halafu pens Yake Sasa kufuliwa Sasa daah na jamaa haugui Wala Nini Mimi nisipooga siku Moja tu najiona siko sawa na ninaweza nisalale
Wee bana ujaelewa ... Kuna vyumba vya watu wa kiume na kingine wa kike ...Ndugu wa kishua halafu mgeni analala chumba cha watoto serious?? Hata chumba cha wageni hakuna?? Neno wa kishua linatumika vibaya sana jamani.
Haya ndio yanasababisha uchafu uendelee kuwepo, kwani chumba cha watoto wakiume kikiwa kisafi na kinanukia vizuri athari yake ni ipi?Japo umeongea kwa kusikitika ila wahenga tumefurahi kuona angalau bado utamaduni wa kiumeni unadumishwa.
Kwakweli chumba cha watoto wa kiume kinatakiwa kiwe na harufu kama mahabusu na sio kunukia uturi kama umeingia Serena.
Wape heko hao vijana waambie wahenga tunajivunia wao kwa kuendeleza utamaduni wa kiumeni katika hizi zama za P Diddy
Wa kishua na kunguni wapi na wapi🤣🤣Kibongo bongo hili neno wa 'kishua' linatumika vibaya sana