Fundi manyumba 01
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,117
- Thread starter
- #41
Wazazi hovyo kabisa... Mtoto mda wote yupo under hous girl unategemea nn hapo...Hapo kosa ni la wazazi kushindwa kuwalea watoto kwenye misingi ya usafi na hayo ndio madhara yake.
Binafsi sipendi kabisa uchafu na siwezi ishi na mtu mchafu
Toto la kidato cha tano unakuta chafuuuu..
Yaaan mkuu kuna mwingine ana kazi yake kabisa ila jamaa mchafu na huyu yupo humu sijui ni mtag tuu...
Wee jamaa mchafu an humo chumban unakuta vyakula hadi vya juzi harufu kali...
Ukifanya usafi leo kesho mambo yale yale ..
Alafu toto la kiume sasa na anadeks kinoma ...kuna mda nilikua natamani nikodi vijana wamchape mbwa yule aaagh