Na leo kasema anatengeneza remix yake inakuja muda sio mrefu 😂😂😂Hiwezi kujiziia kuzipenda nyimbo za wazaramo wewe...swizz beatz katukubali
Huyu mtoto aje mwananyamaza(mwananyamala )..tumchanganye kabisaTanzania: American Star Alicia Keys Eyes Singeli
Tanzania's Singeli music is spreading far beyond its roots after American musician Alicia Augello-Cook, known popularly as Alicia Keys decided to incorporate the frenetic music into her tunes.allafrica.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazaramo huwezi wazuia kwenye culture yao
Hana akili nzuri huyo.Anaweza kuja.Huyu mtoto aje mwananyamaza(mwananyamala )..tumchanganye kabisa
Ukiwaimbia RnB na Hip Hop utakuwa umeenda kuuza barafu North Pole.Ukweli huwezi toka kwenu Africa uwaimbie wamarekani rnb sijui hip pop
Unatakiwa uwaoneshe kitu tofauti kama hivi
Huyu mtoto aje mwananyamaza(mwananyamala )..tumchanganye kabisa
Badala ya Kujenga mlibomoa!!HAMJAFANIKIWA!
Mmewabania sana wazaramo toka enzi ya mnanda hadi sasa ni Singeli.
Hadi RPC aliwahi piga marufuku ngoma zetu...haya sasa ALICIA KEYS Katukubali ....
KIMBIA NASEMA KIMBIA MBIO MBIO...WAPI MSAGA SUMU