Wazanzibari wamuadhibu Seif kwa kushirikiana na Lowassa

Umeona sasa!
Kumbe mchezo wako kuliwa viboga.
Nyie makafiri mnatuharibia Nchi yetu.
Mlaaniwe nyie na wazazi wenu.
Zanzibar mambo ya mafuriko na Tsunami tulikuwa tunaona kwenye Tv tu lkn Miana haramu km wewe toka imehamia kutoka huko Vichochoroni Zanzibar imekumbwa na killa aina ya balaa.
Eeeh mwana mtoka pabaya wee.
Ufe haraka utuondolee laana nchini mwetu.
Laanatullah
Mtoto sio rizki huyo.
Teh teh teh.
Mabasha Wanamtafuna kiboga.
Kuna laana km hio?

Msamehe bure Kamanda.
 
Dada Faiza asalam alaikum.
Naomba ufanye fair analysis na uondoe ukada wa CCM kichwani mwako! Kwanza majimbo ambayo matokeo yake yameshatangazwa mengi ni ya Unguja ambayo ni stronghold ya CCM! Majimbo ambayo matokeo yake hayajatangazwa mengi ni ya Pemba ambayo ni stronghold ya CUF!

Kwa analysis ya haraka ni kwamba kama matokeo ya sasa ya kati ya Dr. Shein na Maalim Seif yana tofauti ya kura ya roughly 10% basi ujue kuwa hilo ni pigo kwa CCM coz it's very likely matokeo ya Pemba yakitangazwa Maalim Seif ata-cover hiyo difference na kuongeza za ushindi! Kimsingi hiyo ndiyo siri ya kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar!

Tatizo ni pale Maalim Seif anapoongea bila kuweka ushahidi. Kura si zilishapigwa, certificates za kila jimbo si anazo? Na alikwisha jitangaza mshindi kabla ya tume kutangaza? kwanini haziweki wazi tukajionea?
 
Post content
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1447109143.841275.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1447109143.841275.jpg
    16.8 KB · Views: 292
  • ImageUploadedByJamiiForums1447109170.538140.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1447109170.538140.jpg
    16 KB · Views: 291
Umeona sasa!
Kumbe mchezo wako kuliwa viboga.
Nyie makafiri mnatuharibia Nchi yetu.
Mlaaniwe nyie na wazazi wenu.
Zanzibar mambo ya mafuriko na Tsunami tulikuwa tunaona kwenye Tv tu lkn Miana haramu km wewe toka imehamia kutoka huko Vichochoroni Zanzibar imekumbwa na killa aina ya balaa.
Eeeh mwana mtoka pabaya wee.
Ufe haraka utuondolee laana nchini mwetu.
Laanatullah

Hahahahaaaaa mbona wengi tunakujua hapo Malindi wamekufanya kama jamvi la wageni!!! Tunakuona hata suruali huwezi kuvaa unashinda na msuli bcoz jamaa wamekuzibua to the extent that unavaa pampas!!!
 
Tatizo ni pale Maalim Seif anapoongea bila kuweka ushahidi. Kura si zilishapigwa, certificates za kila jimbo si anazo? Na alikwisha jitangaza mshindi kabla ya tume kutangaza? kwanini haziweki wazi tukajionea?

Last edited by a moderator:
Nini hizo?

Hizo ndiyo shahada za matokea ya jimbo?

Kwanza sizioni ni nini?

Hayo ni matokeo rasmi ya ZEC, yamethibitishwa na Jecha na wakala wa Sheni, matokeo ya majimbo yote 31 yaliotangazwa na zec ni sawa kabisa na hayo hapo, zec inatakiwa kukamilisha kutangaza majimbo yaliobakia kama yalivyo hapo kwenye hizo fomu.
Kuhusu shahada, jana wawakilishi wateule wa CUF wote 27 jana walikuwa na press conference na walionyesha shahada zao walizopewa na wasimamizi wa majimbo.
 
Conflict of interest, huyo hana undugu na Mansour Yusuf Himid ?

undugu wa mansour unasema nini kuhusu katiba na uchaguzi ??? yeye pia anao udugu na Amani Karume na Ali Karume.

kwani hapo kwenye huo mjadala unaongelewa udugu wa mansour ????

Pengine hujasikiliza huu mjadala , punguza jaziba , sikiliza tena

[video=youtube;mpqjc]https://www.youtube.com/watch?time_continue=17&v=mpqjc SHU_FM[/video]
 
Hayo ni matokeo rasmi ya ZEC, yamethibitishwa na Jecha na wakala wa Sheni, matokeo ya majimbo yote 31 yaliotangazwa na zec ni sawa kabisa na hayo hapo, zec inatakiwa kukamilisha kutangaza majimbo yaliobakia kama yalivyo hapo kwenye hizo fomu.
Kuhusu shahada, jana wawakilishi wateule wa CUF wote 27 jana walikuwa na press conference na walionyesha shahada zao walizopewa na wasimamizi wa majimbo.

Shukrani sana , kwa kuongezea vitu hivi hapa

ZINAFUATIA ORIGINAL PAPERWORK ZILIZOWAKOSESHA CCM USINGIZI KWANI KADA SENGA NA HAJI WALIPOKUSANYA NA KUREJESHA MSASAMBUO UKAWAKATISHA TAMAA NA KUINGIA KIWEWE BILA HOMEWORK WAKAMTIA KITANZI KIBABU JECHA NA SASA KINDUMBWENDUMBWE!
FOMU MBALI MBALI ZINAONYESHA JINSI CCM ILIVYORARULIWA VIBAYA VIBAYA NA WANAJUA LEO KESHO THEY WILL BE OUT!

+26

undugu wa mansour unasema nini kuhusu katiba na uchaguzi ??? yeye pia anao udugu na Amani Karume na Ali Karume.

kwani hapo kwenye huo mjadala unaongelewa udugu wa mansour ????

Pengine hujasikiliza huu mjadala , punguza jaziba , sikiliza tena

[video=youtube;mpqjc]https://www.youtube.com/watch?time_continue=17&v=mpqjc SHU_FM[/video]

Nimeuona live huo.

Nimeandika juu huko, "conflict of interest".

Mimi binafsi simuamini Maalim Seif. Hilo halina mjadala.
 
Nimeuona live huo.

Nimeandika juu huko, "conflict of interest".

Mimi binafsi simuamini Maalim Seif. Hilo halina mjadala.

conflict of interest na mansouri ????

Kumuamini na kutomuamini Maalim Seif hizo ni fikra zako , unao uhuru huo . Lakini wengi wamemuamini na wakampigia kura .

Kwanini CCM hawawi wastaarabu wa kufuata sheria na Katiba ??? Wanataka kuzuke fujo wauwawe watu ??? wewe unalitaka litokee hilo ???

CONFLICT OF INTEREST NYENGINE HII ???

Hakuna ushahidi mpaka sasa kuwa Maalim kapigiwa kura na wengi. Wapo waliompigia sikatai lakini mpaka uchaguzi unafutwa na Jecha niliona Maalim Seif akiongoza.

Maalim Seif simuamini.
 
Mama hapo mwisho uliposema "niliona Maalim Seif akiongoza" ndivyo ulivyokusudia ama umejichanganya?
 
Hakuna ushahidi mpaka sasa kuwa Maalim kapigiwa kura na wengi. Wapo waliompigia sikatai lakini mpaka uchaguzi unafutwa na Jecha niliona Maalim Seif akiongoza.

Maalim Seif simuamini.

haya muamini jecha mwambie atangaze matokeo

mwanamke una kichwa kigumu kama ngurue
 
Mama mimi nimekuelewa kuwa umepost uzi huu muda mchache kabla Jecha hajafuta matokeo, ila wengi hapa wanadhani ulipost baada ya tamko la Jecha.
 
Hakuna ushahidi mpaka sasa kuwa Maalim kapigiwa kura na wengi. Wapo waliompigia sikatai lakini mpaka uchaguzi unafutwa na Jecha niliona Maalim Seif akiongoza.

Maalim Seif simuamini.

hujanijibu, conflict of interest na mansour ??? umekuja na Maalim Seif simuamini , nikakuambia huo ni uhuru wako .

Kama hakuna ushahidi Maalim kapigiwa kura na wengi ni kitu gani kinachowasukuma ccm kuvunja katiba na sheria wasiwache tume kufanya kazi yake

Kwanini CCM hawawi wastaarabu wa kufuata sheria na Katiba ??? Wanataka kuzuke fujo wauwawe watu ??? wewe unalitaka litokee hilo ???
 
Ushauri wangu Ukht FaizaFoxy ......ongea na mods wafute huu uzi. Binafsi naona uliharakisha sana kuubandika.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom