FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,212
Kwa mujibu wa matokeo ya kura zilizokwisha tangazwa na tume ya Zanzibar, tunajionea kuwa Maalim Seif akiwachwa mbali kuliko chaguzi zote alizoshiriki.
Chaguzi za Zanzibar tumezowea kuona wagombea Urais wakichuana kwa kuwania asilimia nusu mpaka mbili tu, lakini safari hii mpaka sasa tunaona Shein akiongoza kwa asilimia zaidi ya 10. Hiyo si bure.
Jibu lake ni rahisi sana. Inatokana na Wazanzibari wengi kutokuwa na imani na Seif kushirikiana na Lowassa kinyume na aliyekuwa Mwenyekiti wake Professor Lipumba aliyekataa mlungula na kuburuzwa na Lowassa kama wafanyavyo Mbowe na Mbatia.
Seif, Mbowe na Mbatia wameonesha udhaifu wao mkubwa katika uongozi baada ya kufanya maamuzi ya kibiashara na si ya kisiasa kwa kuwatema viongozi wao wote waliokataa kuburuzwa kwa fedha za Lowassa.
Hongera wa Zanzibari kwa kuliona hilo.
Nnawashauri CUF hususan wale wa Zanzibar, wasikubali kumwacha kuwa Katibu Mkuu na au kumteua aendelee kuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Muungano ya Zanzibar.
Huyo atemwe tu na CUF wamuondoe kwenye Ukatibu Mkuu wa CUF uchaguzi ukiisha, kwisha kazi yake na hana maana tena.
Seif, Mbowe na Mbatia wameonesha udhaifu mkubwa kisiasa na wamewadhihirishia Watanzania kuwa wao wako kifedha zaidi na kuvimbisha matumbo yao binafsi na si kwa maslahi ya Watanzania.