Wazanzibari wamuadhibu Seif kwa kushirikiana na Lowassa

Sir. ..,,
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1447155015.977764.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1447155015.977764.jpg
    16.8 KB · Views: 372
  • ImageUploadedByJamiiForums1447155365.448752.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1447155365.448752.jpg
    16.8 KB · Views: 365
  • ImageUploadedByJamiiForums1447155521.956562.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1447155521.956562.jpg
    16 KB · Views: 361
Kwa mujibu wa matokeo ya kura zilizokwisha tangazwa na tume ya Zanzibar, tunajionea kuwa Maalim Seif akiwachwa mbali kuliko chaguzi zote alizoshiriki.

Chaguzi za Zanzibar tumezowea kuona wagombea Urais wakichuana kwa kuwania asilimia nusu mpaka mbili tu, lakini safari hii mpaka sasa tunaona Shein akiongoza kwa asilimia zaidi ya 10. Hiyo si bure.

Jibu lake ni rahisi sana. Inatokana na Wazanzibari wengi kutokuwa na imani na Seif kushirikiana na Lowassa kinyume na aliyekuwa Mwenyekiti wake Professor Lipumba aliyekataa mlungula na kuburuzwa na Lowassa kama wafanyavyo Mbowe na Mbatia.

Seif, Mbowe na Mbatia wameonesha udhaifu wao mkubwa katika uongozi baada ya kufanya maamuzi ya kibiashara na si ya kisiasa kwa kuwatema viongozi wao wote waliokataa kuburuzwa kwa fedha za Lowassa.

Hongera wa Zanzibari kwa kuliona hilo.

Nnawashauri CUF hususan wale wa Zanzibar, wasikubali kumwacha kuwa Katibu Mkuu na au kumteua aendelee kuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Muungano ya Zanzibar.

Huyo atemwe tu na CUF wamuondoe kwenye Ukatibu Mkuu wa CUF uchaguzi ukiisha, kwisha kazi yake na hana maana tena.

Seif, Mbowe na Mbatia wameonesha udhaifu mkubwa kisiasa na wamewadhihirishia Watanzania kuwa wao wako kifedha zaidi na kuvimbisha matumbo yao binafsi na si kwa maslahi ya Watanzania.
Kila nikisoma huu utumbo nacheka peke yangu, jifunze kuweka akiba ya maneno
 
Shahada za Wagombea wa CUF walioshinda majimbo 27 na kuthibitishwa na wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo hayo hizi hapa
View attachment 304985
Kama unadhani kuna shahada za ushindi wa urais kwenye kila jimbo unakosea, hakuna kitu kama hicho.
Matokeo ya Kura za urais kwenye majimbo hubandikwa kwenye vituo baada ya kukubaliana mawakala wa vyama na msimamizi wa kituo, nayo ndio haya hapa kwa ujumla wake
View attachment 304987
View attachment 304988

Labda umsubiri aende kwa babu jecha akaazime miwani
 
Shahada za Wagombea wa CUF walioshinda majimbo 27 na kuthibitishwa na wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo hayo hizi hapa
View attachment 304985
Kama unadhani kuna shahada za ushindi wa urais kwenye kila jimbo unakosea, hakuna kitu kama hicho.
Matokeo ya Kura za urais kwenye majimbo hubandikwa kwenye vituo baada ya kukubaliana mawakala wa vyama na msimamizi wa kituo, nayo ndio haya hapa kwa ujumla wake
View attachment 304987
View attachment 304988

Nimeazima na miwani lakini sioni kitu hapo.
 
Nnajuwa, die hard wa ukawa lazima yawaingie.
Nimetoa tu ushauri kwamba jifunze uweka akiba ya maneno,
Kuwa mpole dawa ikuingie, sindano isije katikia kwenye tako.

Kazi unayo, utake usitake ka.fi.r ndo ashakuwa rais wako, Ma.ka.fir JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Endelea kuusoma utauelewa tu, nnauhakika umekuingia ndiyo maana unarudi kuusoma tena na tena.
Nimetoa tu ushauri kwamba jifunze uweka akiba ya maneno,
Kuwa mpole dawa ikuingie, sindano isije katikia kwenye tako.

Kazi unayo, utake usitake ka.fi.r ndo ashakuwa rais wako, Ma.ka.fir JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU UUUUUU
 
Huko hunipeleki kwa sasa. Nnaiheshimu sheria ya mtandao ya kutoeneza chuki za kidini kama ufanyavyo.

Hatum-judge mtu kwa dini yake tunam-judge mtu kwa vitendo vyake.
 
Ah hahahah hahahahaaaa ahahaaa
sikuwahi kufikiria siku moja utakuja kuwa na nidhamu hivi,

Sawa basi sasa tujenge nchi yetu kwa pamoja na kwa nguvu zote
 
Kwa mujibu wa matokeo ya kura zilizokwisha tangazwa na tume ya Zanzibar, tunajionea kuwa Maalim Seif akiwachwa mbali kuliko chaguzi zote alizoshiriki.

Chaguzi za Zanzibar tumezowea kuona wagombea Urais wakichuana kwa kuwania asilimia nusu mpaka mbili tu, lakini safari hii mpaka sasa tunaona Shein akiongoza kwa asilimia zaidi ya 10. Hiyo si bure.

Jibu lake ni rahisi sana. Inatokana na Wazanzibari wengi kutokuwa na imani na Seif kushirikiana na Lowassa kinyume na aliyekuwa Mwenyekiti wake Professor Lipumba aliyekataa mlungula na kuburuzwa na Lowassa kama wafanyavyo Mbowe na Mbatia.

Seif, Mbowe na Mbatia wameonesha udhaifu wao mkubwa katika uongozi baada ya kufanya maamuzi ya kibiashara na si ya kisiasa kwa kuwatema viongozi wao wote waliokataa kuburuzwa kwa fedha za Lowassa.

Hongera wa Zanzibari kwa kuliona hilo.

Nnawashauri CUF hususan wale wa Zanzibar, wasikubali kumwacha kuwa Katibu Mkuu na au kumteua aendelee kuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Muungano ya Zanzibar.

Huyo atemwe tu na CUF wamuondoe kwenye Ukatibu Mkuu wa CUF uchaguzi ukiisha, kwisha kazi yake na hana maana tena.

Seif, Mbowe na Mbatia wameonesha udhaifu mkubwa kisiasa na wamewadhihirishia Watanzania kuwa wao wako kifedha zaidi na kuvimbisha matumbo yao binafsi na si kwa maslahi ya Watanzania.

Who u? What u claim?
 
Back
Top Bottom