Wazanzibari wamuadhibu Seif kwa kushirikiana na Lowassa

Ah hahahah hahahahaaaa ahahaaa
sikuwahi kufikiria siku moja utakuja kuwa na nidhamu hivi,

Sawa basi sasa tujenge nchi yetu kwa pamoja na kwa nguvu zote

Nidham ni jadi yangu na nnatii sheria bila shuruti - kumbuka hilo.
 
wewe ni katika wale wenye macho lkn hawaoni wenye masikio lkn hawasikii wenye mioyo lakn hawazingatii. Usiwe mnafiki jiulize katika nafsi yako ingeshinda ccm uchagui ungefutwa Jitafakari wazanzibar tunajua tunachokitaka. wizi wote walioufaya ccm na bado imeshindwa chali

Nijiulize wakati sababu zimetolewa na hakuna aliyezipinga, watu wamekazana tumeshinda, tumeshinda.

Pingeni sababu zilizotolewa kwa ushahidi.

Kama kweli mmeshinda mna mchecheto wa nini kurudia kura?

Tume ya Zanzibar ni huru, jee ingekuwa si tume huru ingekuwaje? Majanga.
 
Kwa mujibu wa matokeo ya kura zilizokwisha tangazwa na tume ya Zanzibar, tunajionea kuwa Maalim Seif akiwachwa mbali kuliko chaguzi zote alizoshiriki.

Chaguzi za Zanzibar tumezowea kuona wagombea Urais wakichuana kwa kuwania asilimia nusu mpaka mbili tu, lakini safari hii mpaka sasa tunaona Shein akiongoza kwa asilimia zaidi ya 10. Hiyo si bure.

Jibu lake ni rahisi sana. Inatokana na Wazanzibari wengi kutokuwa na imani na Seif kushirikiana na Lowassa kinyume na aliyekuwa Mwenyekiti wake Professor Lipumba aliyekataa mlungula na kuburuzwa na Lowassa kama wafanyavyo Mbowe na Mbatia.

Seif, Mbowe na Mbatia wameonesha udhaifu wao mkubwa katika uongozi baada ya kufanya maamuzi ya kibiashara na si ya kisiasa kwa kuwatema viongozi wao wote waliokataa kuburuzwa kwa fedha za Lowassa.

Hongera wa Zanzibari kwa kuliona hilo.

Nnawashauri CUF hususan wale wa Zanzibar, wasikubali kumwacha kuwa Katibu Mkuu na au kumteua aendelee kuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Muungano ya Zanzibar.

Huyo atemwe tu na CUF wamuondoe kwenye Ukatibu Mkuu wa CUF uchaguzi ukiisha, kwisha kazi yake na hana maana tena.

Seif, Mbowe na Mbatia wameonesha udhaifu mkubwa kisiasa na wamewadhihirishia Watanzania kuwa wao wako kifedha zaidi na kuvimbisha matumbo yao binafsi na si kwa maslahi ya Watanzania.

mbinu za mkuu wa Tume kuanza kutangaza matokeo ya ngome za CCM mwanzo ndio zimekuhadaa??
Cuf imeshashinda kwa ushindi mkubwa sana. BAdili kauli yako hiyo.
 
Siamini mpaka nione ushahidi kamili si maneno matupu.

Seif ndiyo simuamini kabisa. Ndumila kuwili yule.
 
Kwa mujibu wa matokeo ya kura zilizokwisha tangazwa na tume ya Zanzibar, tunajionea kuwa Maalim Seif akiwachwa mbali kuliko chaguzi zote alizoshiriki.

Chaguzi za Zanzibar tumezowea kuona wagombea Urais wakichuana kwa kuwania asilimia nusu mpaka mbili tu, lakini safari hii mpaka sasa tunaona Shein akiongoza kwa asilimia zaidi ya 10. Hiyo si bure.

Jibu lake ni rahisi sana. Inatokana na Wazanzibari wengi kutokuwa na imani na Seif kushirikiana na Lowassa kinyume na aliyekuwa Mwenyekiti wake Professor Lipumba aliyekataa mlungula na kuburuzwa na Lowassa kama wafanyavyo Mbowe na Mbatia.

Seif, Mbowe na Mbatia wameonesha udhaifu wao mkubwa katika uongozi baada ya kufanya maamuzi ya kibiashara na si ya kisiasa kwa kuwatema viongozi wao wote waliokataa kuburuzwa kwa fedha za Lowassa.

Hongera wa Zanzibari kwa kuliona hilo.

Nnawashauri CUF hususan wale wa Zanzibar, wasikubali kumwacha kuwa Katibu Mkuu na au kumteua aendelee kuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Muungano ya Zanzibar.

Huyo atemwe tu na CUF wamuondoe kwenye Ukatibu Mkuu wa CUF uchaguzi ukiisha, kwisha kazi yake na hana maana tena.

Seif, Mbowe na Mbatia wameonesha udhaifu mkubwa kisiasa na wamewadhihirishia Watanzania kuwa wao wako kifedha zaidi na kuvimbisha matumbo yao binafsi na si kwa maslahi ya Watanzania.

Unaota
 
Nidham ni jadi yangu na nnatii sheria bila shuruti - kumbuka hilo.
Hebu acha kunichefua hapa, una nidhamu gani wwe,
Au umeshahu ma post yako ulivyokuwa unahororoja juu ya udini na ma.ka.fi.r,

Hebu acha kuniudhi kubali kwamba sasa hivi umejirekebisha na unanidhamu,
Hii yote ni baada ya ka.fi.r kushika nchi, najua imekuuma ila ndo rais wako utake usitake
 
Huko hunipeleki kwa sasa. Nnaiheshimu sheria ya mtandao ya kutoeneza chuki za kidini kama ufanyavyo.

Hatum-judge mtu kwa dini yake tunam-judge mtu kwa vitendo vyake.
 
Aibu,wizi wa kura,uonevu ccm kubaluni tu,kwani nani atawcheka?Sasa in zamu ya maalim chochote kitakachotokea iwe amani kutoweka aula Jecha atajibu
 
Kwa mujibu wa matokeo ya kura zilizokwisha tangazwa na tume ya Zanzibar, tunajionea kuwa Maalim Seif akiwachwa mbali kuliko chaguzi zote alizoshiriki.

Chaguzi za Zanzibar tumezowea kuona wagombea Urais wakichuana kwa kuwania asilimia nusu mpaka mbili tu, lakini safari hii mpaka sasa tunaona Shein akiongoza kwa asilimia zaidi ya 10. Hiyo si bure.

Jibu lake ni rahisi sana. Inatokana na Wazanzibari wengi kutokuwa na imani na Seif kushirikiana na Lowassa kinyume na aliyekuwa Mwenyekiti wake Professor Lipumba aliyekataa mlungula na kuburuzwa na Lowassa kama wafanyavyo Mbowe na Mbatia.

Seif, Mbowe na Mbatia wameonesha udhaifu wao mkubwa katika uongozi baada ya kufanya maamuzi ya kibiashara na si ya kisiasa kwa kuwatema viongozi wao wote waliokataa kuburuzwa kwa fedha za Lowassa.

Hongera wa Zanzibari kwa kuliona hilo.

Nnawashauri CUF hususan wale wa Zanzibar, wasikubali kumwacha kuwa Katibu Mkuu na au kumteua aendelee kuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Muungano ya Zanzibar.

Huyo atemwe tu na CUF wamuondoe kwenye Ukatibu Mkuu wa CUF uchaguzi ukiisha, kwisha kazi yake na hana maana tena.

Seif, Mbowe na Mbatia wameonesha udhaifu mkubwa kisiasa na wamewadhihirishia Watanzania kuwa wao wako kifedha zaidi na kuvimbisha matumbo yao binafsi na si kwa maslahi ya Watanzania.
Ungdnyamaza Kimya bila kuharisha hadharani ungeendelea kuheshimika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom