Kabla ya kuja mkoloni wa kiingereza Zanzibar, wazanzibari wa asili mbali mbali kama walivyo hivi sasa walikuwa wakiishi kwa mapenzi makubwa bila ya chuki za ukabila na urangi, au kwa lugha nyengine, waliishi bila ya mimi ni nani na wewe na nani.
Ahmed ahsante sana huo ndio ukweli anayepinga anajipa shida tu! ati tumechanganyikiwa ! kwa bahati nzur sisi hatukeshi vilabu kunywa pombe! watanganyika musione choyo andikeni na nyinyi hiyo historia yenu ,iliyobuniwa na huyo baba yenu wa taifa! tokeni na husda zenu !
Haya Wazanzibari Wamesema wao SIO WABANTU ni WASTAARABU sijui ni nini hicho
Hata kama ni ugomvi sio - yaani we umeona pa kupiga machoni tuHii title pekee WAZANZIBARI NI JAMII YENYE ASILI NA USTAARABU MSETO (COSMOPOLITAN SOCIETY) NA SIO JAMII YA KIBANTU (KIAFRIKA inatia kichefuchefu!
Hii ina maana watu wenye asili ya Kibantu (Kiafrika) sio wastaarabu?
Nini maana ya Ustaarabu? Kwako wewe ni nani Mwafrika katika Afrika?
Huyu aliyeandika makala hii anapaswa akili yake ikoshwe kwa jiki.
Mtu mwenye mawazo kama haya, anajulikana kama "Snob," [A snob believes that some people are inherently inferior to him or her for any one of a variety of reasons, including real or supposed intellect, wealth, education, ancestry, class, taste, beauty, nationality, et cetera.] Asili ya neno hili Kilatini lina maana ya kutotokana na watu wasio na daraja ("sine nobilitate" or "sans noblesse" meaning "without nobility"), lakini ili waonekane wanatokana na daraja ya juu, huwa na tabia ya kujidai kutokana na daraja hilo, kama kinga ya kutojiamini kwao miongoni mwa wenye daraja. Huyu atakuwa ni huyu "mjomba wangu" aliyeandika makala hii.
Sijawahi kuona maneno ya mtu mjinga na mshenzi kama wewe! fikiri kabla ya kunena kinyume chake utambuka! hii inaonesha wazi chuki zidi ya waislam, waarabu na wazanzibar? ama kweli mjinga hubaki na ujinga hata aende huko skuli! hii ni jaza ya ulaji wa kiti moto! unywaji wa pombe! wizi na uchafu wa imani na matendo! jitadhmini ujichunguze wewe tabia zako hazina tofauti ya mbwa au nguruwe!ELIMU YA MADRASSA BALAA
1Kumbe kwako wakoloni ni waingereza sio seyyid said na said barghash?
2,mgawanyiko haukwepo kabla ya waingereza kuja?????!!!!! wakat warabu waliendesha biashara za utumwa? eg tipu tip
3,zanzibar watu weusi walikwepo kabla ya wajinga kama wewe waliokubali uislam na mbaya uarabu (jina lako)
4,je kama ni hivo kwanini karume alimpindua jamsheed kama hakuwa na udaraja na ukabila? tangu lini mwarabu akajiona sawa na kiumbe duni (mutu nyeusi) kama wewe?
5 soma elim dunia kaka hyo ya madrasa itakupeleka kusiko
huwezi kuepuka ubantu ndani ya zanzibar kwa sababu nyingi 1. ukaribu na pwani ya afrika mashariki 2. muungiliano wa kidamu baina yetu pamoja na yote haya mbantu hana nafasi ya kujifaharisha na ubantu wake ndani ya zanzibar! kama walivyo washiraz na ndugu zao waarabu! kama walivyo wahindi na kabila zao zilizoenea ndani ya zanzibar! wareno na jamii nyengine za yuropa! tunavyoringia ni uwepo wa taifa letu! na utamaduni wetu wa mseto(cosmopolitan)Kwa Ukweli Wazanzibari sio WABANTU?
Utamaduni wa mseto ni upi? Utamaduni wa ZNZ ni upi?huwezi kuepuka ubantu ndani ya zanzibar kwa sababu nyingi 1. ukaribu na pwani ya afrika mashariki 2. muungiliano wa kidamu baina yetu pamoja na yote haya mbantu hana nafasi ya kujifaharisha na ubantu wake ndani ya zanzibar! kama walivyo washiraz na ndugu zao waarabu! kama walivyo wahindi na kabila zao zilizoenea ndani ya zanzibar! wareno na jamii nyengine za yuropa! tunavyoringia ni uwepo wa taifa letu! na utamaduni wetu wa mseto(cosmopolitan)
Hhahahah, Munakasirika kweli mukiambiwa ukweli. Waacheni wazanzibari wanede zao. Nyinyi muna jiinchi kubwa kweli kweli, munashindana na kajisehemu kadogo. Watu hawafiki millioni moja wanawasumbuanini?. Vunjeni muungano.
Gia ya kuingilia....
Sijui kama alikuwa anamaanisha kuwa waliokuwa humu nao walikuwa wanajihisi hivyo hivyo kabla ya kuja Mwingereza!
Watumwa wakiwa na minyororo karne ya 19 visiwani Zanzibar ambako msomaji anatuambia kuwa watu wote waliishi kwa "mapenzi makubwa". NIna uhakika - nikiamini maneno ya mwandishi - hawa jamaa wenye minyororo walikuwa wanashukuru wanavyopendwa na kutendewa mambo mema na Wazanzibari "wenzao"!
Wazanzibari kwa kweli kabla ya Mwingereza walikuwa wanapendana sana!
I've had it with these people.
If that's the case than do something about it. Oh i forgot you are a bongo man all you do is just talk by the way how did your guys do in the olympics oh yes nothing just full of shit. Did not even see a single one of them you guys all you are good at is to talk rabish just like your bongo land it stinks of rabish. Haaaaaaahaaaaaahaaaaahaaaaa.