Wazanzibari ni jamii yenye asili na ustaarabu mseto (cosmopolitan) na sio jamii ya kibantu

Watanganyika watu ajabu kweli!!!!!!!

Oh Weee... Kama Watanganyika ni wa ajabu vipi hao Wastaarabu ambao sio Wabantu?

Yaani hawataki hiyo rangi nyeusi Mwilini Mwao hata Kidogo...
 
Gia ya kuingilia....

Kabla ya kuja mkoloni wa kiingereza Zanzibar, wazanzibari wa asili mbali mbali kama walivyo hivi sasa walikuwa wakiishi kwa mapenzi makubwa bila ya chuki za ukabila na urangi, au kwa lugha nyengine, waliishi bila ya mimi ni nani na wewe na nani.

Sijui kama alikuwa anamaanisha kuwa waliokuwa humu nao walikuwa wanajihisi hivyo hivyo kabla ya kuja Mwingereza!

Corbis-BJ001485.jpg

Watumwa wakiwa na minyororo karne ya 19 visiwani Zanzibar ambako msomaji anatuambia kuwa watu wote waliishi kwa "mapenzi makubwa". NIna uhakika - nikiamini maneno ya mwandishi - hawa jamaa wenye minyororo walikuwa wanashukuru wanavyopendwa na kutendewa mambo mema na Wazanzibari "wenzao"!

Churchill%20%20Slaves%20c1868.jpg

Wazanzibari kwa kweli kabla ya Mwingereza walikuwa wanapendana sana!
 
Ahmed ahsante sana huo ndio ukweli anayepinga anajipa shida tu! ati tumechanganyikiwa ! kwa bahati nzur sisi hatukeshi vilabu kunywa pombe! watanganyika musione choyo andikeni na nyinyi hiyo historia yenu ,iliyobuniwa na huyo baba yenu wa taifa! tokeni na husda zenu !

Samahani mkuu unaweza tusaidia kutufahamisha kuhusu biashara ya watumwa iliyokuwa Zanzibar? Pia nani alishiriki biashara hiyo? Je watu wa rangi zote walifanywa watumwa? Je masultani nao walishiriki biashara hiyo? Je utumwa ni sehemu ya huo ustaarabu mseto? Tatu sensa ipi iliyoonyesha kuwa 'washirazi' ni wengi?

Kumbuka na ujue kuwa huhitaji kutoa kashfa kuhusu Nyerere, unaweza tu kuwasilisha hoja yako ukaeleweka, unaposema 'iliyobuniwa na baba yenu wa taifa' inaonyesha u mtu anayedhani kashfa kwa Nyerere zitakufanya usikilizwe zaidi.
 
Haya Wazanzibari Wamesema wao SIO WABANTU ni WASTAARABU sijui ni nini hicho

Mtu ambaye anatamani, ana ari na ana uchu wa kutwaliwa na waarabu hatuwezi kumsaidia kitu.
Ni heri aemde uarabuni akawatumikie wale anao wahusudu.
 
Hii title pekee WAZANZIBARI NI JAMII YENYE ASILI NA USTAARABU MSETO (COSMOPOLITAN SOCIETY) NA SIO JAMII YA KIBANTU (KIAFRIKA inatia kichefuchefu!
Hii ina maana watu wenye asili ya Kibantu (Kiafrika) sio wastaarabu?
Nini maana ya Ustaarabu? Kwako wewe ni nani Mwafrika katika Afrika?
Huyu aliyeandika makala hii anapaswa akili yake ikoshwe kwa jiki.

Mtu mwenye mawazo kama haya, anajulikana kama "Snob," [
A snob believes that some people are inherently inferior to him or her for any one of a variety of reasons, including real or supposed intellect, wealth, education, ancestry, class, taste, beauty, nationality, et cetera.] Asili ya neno hili Kilatini lina maana ya kutotokana na watu wasio na daraja ("sine nobilitate" or "sans noblesse" meaning "without nobility"), lakini ili waonekane wanatokana na daraja ya juu, huwa na tabia ya kujidai kutokana na daraja hilo, kama kinga ya kutojiamini kwao miongoni mwa wenye daraja. Huyu atakuwa ni huyu "mjomba wangu" aliyeandika makala hii.
Hata kama ni ugomvi sio - yaani we umeona pa kupiga machoni tu
 
ELIMU YA MADRASSA BALAA
1Kumbe kwako wakoloni ni waingereza sio seyyid said na said barghash?
2,mgawanyiko haukwepo kabla ya waingereza kuja?????!!!!! wakat warabu waliendesha biashara za utumwa? eg tipu tip
3,zanzibar watu weusi walikwepo kabla ya wajinga kama wewe waliokubali uislam na mbaya uarabu (jina lako)
4,je kama ni hivo kwanini karume alimpindua jamsheed kama hakuwa na udaraja na ukabila? tangu lini mwarabu akajiona sawa na kiumbe duni (mutu nyeusi) kama wewe?
5 soma elim dunia kaka hyo ya madrasa itakupeleka kusiko
Sijawahi kuona maneno ya mtu mjinga na mshenzi kama wewe! fikiri kabla ya kunena kinyume chake utambuka! hii inaonesha wazi chuki zidi ya waislam, waarabu na wazanzibar? ama kweli mjinga hubaki na ujinga hata aende huko skuli! hii ni jaza ya ulaji wa kiti moto! unywaji wa pombe! wizi na uchafu wa imani na matendo! jitadhmini ujichunguze wewe tabia zako hazina tofauti ya mbwa au nguruwe!
 
Ati wajerumani na waengereza walivyo wauwa kama kuku! Na kuwapeleka huko latin amerika na caribean kulima miwa au mumesahau? Umemsahau bathloment diaz pamoja na vasco dagama na uadui wao kwa watu wa afrika ya mashariki! Hawa sio waliowagawa mukawa na nchi hizo mulizonazo leo ebu nambia taifa gani la kiarabu limetawala taifa jengine? Wacha ulofa wa akili! Na siasa chafu za kiafrika mumesahau hadi leo kongo munauwana! Siasa si fani yenu ujambazi, wizi, ufisadi , ulevi ndio muliosomea!
 
Kwa Ukweli Wazanzibari sio WABANTU?
huwezi kuepuka ubantu ndani ya zanzibar kwa sababu nyingi 1. ukaribu na pwani ya afrika mashariki 2. muungiliano wa kidamu baina yetu pamoja na yote haya mbantu hana nafasi ya kujifaharisha na ubantu wake ndani ya zanzibar! kama walivyo washiraz na ndugu zao waarabu! kama walivyo wahindi na kabila zao zilizoenea ndani ya zanzibar! wareno na jamii nyengine za yuropa! tunavyoringia ni uwepo wa taifa letu! na utamaduni wetu wa mseto(cosmopolitan)
 
Utamaduni wa mseto ni upi? Utamaduni wa ZNZ ni upi?

Hivi huoni kama unatusaidia kukanusha hiyo article? Mwandishi kama umemsoma vema kasema 'Washirazi' ni wengi au majority.
Sasa unapokuwa na majority si lazima ipo minority, hapo mseto unatoka wapi?
Kungekuwa na Cosmopolitan iweje wapemba waombe jamhuri yao?

Na mwisho, mwandishi hajasema cosmolitan ni utamaduni wa ZNZ, alichosema ni kuwa cosmopolitan ni ustaarabu wa ZNZ.
 
Hhahahah, Munakasirika kweli mukiambiwa ukweli. Waacheni wazanzibari wanede zao. Nyinyi muna jiinchi kubwa kweli kweli, munashindana na kajisehemu kadogo. Watu hawafiki millioni moja wanawasumbuanini?. Vunjeni muungano.

nyie tukiwaachia hamkawii kuanza kujilipua. Alkaeda all-shababi watapiga kambi hapo iwe hatari kwetu.!
 
yakhe mbona jazba sasaa?,c umefunga ww,angalia usije tengua swaum kaka hamijei!!!
 
Gia ya kuingilia....

Sijui kama alikuwa anamaanisha kuwa waliokuwa humu nao walikuwa wanajihisi hivyo hivyo kabla ya kuja Mwingereza!

Corbis-BJ001485.jpg

Watumwa wakiwa na minyororo karne ya 19 visiwani Zanzibar ambako msomaji anatuambia kuwa watu wote waliishi kwa "mapenzi makubwa". NIna uhakika - nikiamini maneno ya mwandishi - hawa jamaa wenye minyororo walikuwa wanashukuru wanavyopendwa na kutendewa mambo mema na Wazanzibari "wenzao"!

Churchill%20%20Slaves%20c1868.jpg

Wazanzibari kwa kweli kabla ya Mwingereza walikuwa wanapendana sana!

Hiki kitu ndio uamsho wanacholilia kirudi- nchi ya mabwana na watwana.
Mie natamani kumtia mnyororo mwarabu for good measure.
 
Sultan Sayid alikuja Zanzibar kutawala kikoloni na ukoloni wake ndi ukoloni wa Waarab.
 
I've had it with these people.

If that's the case than do something about it. Oh i forgot you are a bongo man all you do is just talk by the way how did your guys do in the olympics oh yes nothing just full of shit. Did not even see a single one of them you guys all you are good at is to talk rabish just like your bongo land it stinks of rabish. Haaaaaaahaaaaaahaaaaahaaaaa.
 
And who the hell are you?
 
Ustaarabu si kabila kama nikabila mmelitunga kukwepa neno UARABU.
Eti Ustaarabu ndo kabila asilia huko Zanzibar?
Zanzibar ni ya watu weusi tangu ilipoumbwa mpaka ilipovamiwa na Makaburu wa Kiarabu toka Oman
Leo kizazi cha Makaburu hawa wanajiita Ustaarabu.LOL:loco:
Shame on you.

Nani kakwambia ni Pombe tu inayolewesha?
Sigara ile ya kusokota pia hulewesha,
na haiuzwi vilabuni.

Ahmed ahsante sana huo ndio ukweli anayepinga anajipa shida tu! ati tumechanganyikiwa ! kwa bahati nzur sisi hatukeshi vilabu kunywa pombe! watanganyika musione choyo andikeni na nyinyi hiyo historia yenu ,iliyobuniwa na huyo baba yenu wa taifa! tokeni na husda zenu !
 
Is this supposed to be English?

If that's the case than do something about it. Oh i forgot you are a bongo man all you do is just talk by the way how did your guys do in the olympics oh yes nothing just full of shit. Did not even see a single one of them you guys all you are good at is to talk rabish just like your bongo land it stinks of rabish. Haaaaaaahaaaaaahaaaaahaaaaa.
 
Mzee Mwanakijiji,
Nafikiri biashara ya kuuza watu,
waliifanya kabla ya kuokoka sorry Kusilimu na kuwa Waislamu,
Sidhani Muislamu wa kweli mnyenyekevu wa moyo,
anaweza kamata mtu akamuuza kama tende.
Au pengine mtu kwao ni Muarabu tu.

Gia ya kuingilia....

Sijui kama alikuwa anamaanisha kuwa waliokuwa humu nao walikuwa wanajihisi hivyo hivyo kabla ya kuja Mwingereza!

Watumwa wakiwa na minyororo karne ya 19 visiwani Zanzibar ambako msomaji anatuambia kuwa watu wote waliishi kwa "mapenzi makubwa". NIna uhakika - nikiamini maneno ya mwandishi - hawa jamaa wenye minyororo walikuwa wanashukuru wanavyopendwa na kutendewa mambo mema na Wazanzibari "wenzao"!

Wazanzibari kwa kweli kabla ya Mwingereza walikuwa wanapendana sana!
 
nafikir ulochanganyikiwa niwewe usojua asili wa mila na utamaduni wako hem unaelewa eleza japo kwa mukhasari kidogo wazanzibar sio wabamtu huu ndo ukweli wacheni kukaa kwenye vilab vyapomabe ndo kwanza mnaandaa vitambulisho vya kujuana leo eti vya taifa la tanzania mbona hamuutaki ukweli na mnakumabatia ulaghai na utape nivya tanganiyika au utanganyika ndo utaifa wenu kwanini hamilipendi hili jina au nyerere aliwalisha sumu juu ya kuukanusha utanganyika
 
Back
Top Bottom