kerubi afunikaye
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,183
- 1,061
Historia inaonyesha zanzibar ilikuwa nchi na mamlaka yk, fedha zake, bendera na wimbo wa taifa watoto walikuwa wanaimba mashuleni kabla ya muungano huu wa kidhalim wa JMT, na Zanzibar iliweza kusimama kilivyo kama nchi.,
Nyerere ambaye Tanganyika ni baba yenu wa Taifa ndio alimshawishi karume kuungana kumbe alikuwa na lake rohoni, baada karume kugundua Tanganyika wanataka kuimeza zanzibar mukampiga risasi kumuua, kutoka hapo ilikuwa mtu yeyote akiutaja muungano alikuwa anaitwa muhaini kufungwa jela miaka isiyojulikana.,
Usizuge zuge watu unataka hoja gani., mbona munapenda kujitoa fahamu???
hiyo ZNZ unazungumzia ndio ile ya Sultani?unazungumzia bendera ya Sultan?wala usihofu,mutaipata tu na Sultan wenu atarudi,sasa hivi tunahakikisha tunawasaidieni mpate nchi yenu!na hii katiba ya serikali tatu hatutaki,tunataka serikali moja ya Tanganyika!Suala la uraia wa nchi mbili pia hatulitaki!ngoja kura ya maoni ije,tutawasaidia mpate nchi yenu mpumuwee!