Wazanzibar muungano tutaununua...

Wazanzibar muungano tutaununua...

Status
Not open for further replies.
Katika fikra za watu kama hawa,naiona Zanzibar ya wamwagiaji tindikali,magaidi na maswahiba wa Alshabaab na Alqaida.

What a waste!!!

Ndio majina munayowapa wazanzibar wakiwa wameshikamana kudai haki yao ya msingi ya nchi yao waliyopindua kutoka kwa sultan.,
 
Naona kuna jambo unashindwa kuelewa!Kurudisha neno 'Tanganyika' badala ya 'Tanzania Bara' ni mwanzo wa kuvunja muungano,na rasimu ilikuwa inajaribu kuliepuka hilo!Au umesahau kuwa waliopewa jukumu la kuunda tume hiyo ni wasomi waliobobea?

Mna kazi!

Usizungumze jambo ambalo hulijui!

Ivi kwani muungano wa Tanganyika na Zanzibar umetajwa katika msahaf au bibliya? ni itikadi zenu tu kujidai munaunusuru muungano huku mukiweka pamba za maskio na kuziba macho ili muendelee kuinyonya Zanzibar.,
 
Kama wewe ni goigoi basi bakia hukohuko Tanganyika, ila kuhusiana na Zanzibar itakuwaje hilo hatuna hofu nalo ,kama historia inajirudia basi Zanzibar ina historia ya kujitegemea na hata kufikia kutoa misaada kwa nchi za Scandnavia wakati huo,utajiri uliopo Zanzibar ambao ni m'bichi bado hata haujaguswa ni mkubwa sana sana kushinda maelezo ,waulize wanaoulinda muungano kwa nguvu zao zote wanaweza kukupatia jibu.

Zanzibar raia wasio na ajira watalipwa kila mwezi ,dogo hilo? Sasa fikiria hilo tu ,huko Tanganyika wataliweza ? Muungano na ufe halafu tuone kama atakufa njaa mtu ,nyie vipi ? usifikiri Zanzibar hakuna dhahabu,usifikiri ZANZIBAR hakuna almasi,usifikiri hakuna uranium ,vyote hivyo vipo na vya uhakika mbali ya black gold (mafuta). mpoooo?

Thubutuuu!

We unafikiri mngekuwa na hayo yote MKOLONI Tanganyika angekuwa amewaacha nyie 'wavivu' muyakalie tu?

We unafikiri angeendelea kugharamia muungano kwa uchumi wake wakati kuna 'utajiri' wa kutosha mmeukalia?

Unafikiri angefikia hatua ya kukubali rasimu yenye 'harufu' ya kuvunja muungano wakati kuna'mali' ya bure ya kujichotea?Kwa nguvu gani mliyonayo?Au hayo makelele mnayopiga?Imechukuliwa dhahabu Mara kwa wale wanaofanya tohara kwa panga itakuwa kwenu ninyi mdebwebo
mnaoshindia 'urojo'!!!?

Wewe endelea kuota!
 
we kwenu Iringa au Moshi. Zanzibar haikuhusu.
Bakia na Tanganyika yenu utuwache kwa salama na Zanzibar yetu.
kama umekuja kununua ZANID Zanzibar kwa CCM wenzako sasa unajipambanua kama mzanzibari pole zako.
Watanganyika wezi, wabinafsi na ni mahusda kwa wazanzibari.
Afadhali kufa njaa kuliko kubakia na muungano na watanganyika.
 
Itafika wakati utajitambua wala sijivunii kuwa mzanzibar bali mimi ni mtanzania.
Haya ya kujiona tupo sawa kwa kila jambo ndo kila siku tunabaki kulalama tu.
 
Ni bora nionekane msaliti lakini yale ya ukweli nayasema.
Ukweli wa hili ni kama mwarobaini, ni mchungu lakini dawa.
Hivi kwanini wazanzibar wenzangu hamtaki tujikubali?
Kuna wanasiasa wameweka jambo hili kama mtego hawana dhamira njema,kama hamuamini tusubiri mengi yatakuja nje ya muungano.

Namuomba Mungu atujaalie maisha marefu ili tuje kuona kifuatacho baada ya hili suala, kwani linahitaji upeo wa kufikiri wa hali ya juu kulijua hili suala kwa undani zaidi.
 
Itafika wakati utajitambua wala sijivunii kuwa mzanzibar bali mimi ni mtanzania.
Haya ya kujiona tupo sawa kwa kila jambo ndo kila siku tunabaki kulalama tu.
nilikuekea mtego umenasa. Nakuhakikishia kuwa wewe huna asili ya Zanzibar kama nilivyotangulia kusema.Hakuna mzanzibari asiyejivunia zanzibar isipokuwa tatizo ni hawa mamluki mnatuwekea akina seifu idi na wenzake.
Wazanzibari tunajivunia nchi yetu na watu wetu. Tunaupenda utamaduni wetu mila na silika zetu. Bakia huko kwenu tanganyika. Usitafute njia ya kuwaintimidate wazanzibari kukubaliana na dhulma Munazowafanyia.
 
Ndio majina munayowapa wazanzibar wakiwa wameshikamana kudai haki yao ya msingi ya nchi yao waliyopindua kutoka kwa sultan.,

kama siyo watanganyika chini ya uongozi thabiti wa mwalimu nyerere mngekuta bado mnapumuliwa na mwarabu
 
Fadhila za baba wa taifa kwa Zanzibar ni kufanya hila na kufanikiwa kuimarisha ukiristo-ukafiri kutoka bara wakaanza kujenga makanisa na kuimba kwaya.,

Mkuu,

Angalia usije sema hata mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa ya kikristo-kafiri,maana aliyefanikisha anaitwa mkristo-kafiri John Okello!Au naye mnataka kumfuta kwenye historia!

Poleni!Ila ndio ukweli mchungu huo!
 
Tena Mkuu mjipange kwelikweli vinginevyo msijetoa machozi mtakaposikia "Amri ya Masaa 48". Ni ushauri tu.

hongereni kwa mada nzuri. Ngoja kesho niwaulize jamaa zangu kino Moyo, vijana maarufu hapa mjini songea kama watarudi znz au watakuwa watanganyika ili nasi turithi kazi zao wazifanyazo hapa maisha yetu yanyooke! Jamaa wako vizuri na wapo hapa tangu siku nyingi tu. Nahisi hawatakubali kwenda zenj! Mie nashauri vyovyote itakavyokua, tuendeleze mahusiano yetu yaliyopo.
 
Zanzibar na hali yake huku Tanganyika inafahamika na kueleweka fika, zadi ya hilo kelele zenu na manung'uniko yasio isha, amayo hata CCM haikuyakemea yamewaamsha wenzenu hisia ya uTanganyika.

Mtikila alikuwa akionekana msema ovyo sasa ameeleweka.

Naona umekuwa makini kuonyesha ukweli kuwa matatizo ya muungano wazanzibari wengi wakifikiri ni kutokana na Tanganyika, kumbe ni dhana potofu.

Hata hivyo kwa sasa hivi ni almost too late, Watanganyika wengi wameuchoka meengano, na wako wengi hata ikipigwa kura leo watautosa!

Kitu cha maana ni Zanzibar kubeba na kuzitata kero zao wenyewe, wakipata mjomba wa kuzibeba kero hizo alhamdulilahi!

Nakumbuka nilikutatana na Mtkila kwa mara ya kwanza 9 Dec 2004 nikiwa mwanafunzi wa kidato cha 4, Mzee huyu alikuwa akihutubia watu (Tena vajana walevi wasiozidi) hata kumi katika viwanja vya shule ya kikundi-Moro, Nilishangazwa sana na ujasiri wa mzee huyu, kwani pasipo kujari uchache wa watu alipanda jukwan na kuhubiri kuhusu Tanganyika huku akimkosoa vikali Late Mwl Nyerere. Hakutaka sikia neno Tanzania. Ujasiri huu ndio ulionifanya nikae nimsikilize, japo wapita njia waliskikika wakimwita mbaguzi/mpuuzi na kila aina ya kejeli.....Sasa wengi wetu tunamwona huyu baba (na wengineo waliopigania Tanganyika) ni mashujaa kwani Tanganyika inarudi kwa kasi kubwa.
 
nilikuekea mtego umenasa. Nakuhakikishia kuwa wewe huna asili ya Zanzibar kama nilivyotangulia kusema.Hakuna mzanzibari asiyejivunia zanzibar isipokuwa tatizo ni hawa mamluki mnatuwekea akina seifu idi na wenzake.
Wazanzibari tunajivunia nchi yetu na watu wetu. Tunaupenda utamaduni wetu mila na silika zetu. Bakia huko kwenu tanganyika. Usitafute njia ya kuwaintimidate wazanzibari kukubaliana na dhulma Munazowafanyia.

Usiumize kichwa sana ndugu yangu kuhusu mimi na uzanzibar wangu cha msingi kaa ufikiri ni Zanzibar ya aina gani uionayo nje ya muungano. Unguja ukuu Tindini ndo Kwa baba.Konde Pemba ndo kwa mama.
 
Kipndi kile UHAMSHO wanafnya vurugu ulikuwa kimya, leo iweje uanze kuandika mamneo ya uopole kama haya, au mlidhani Tanganyika ndo wanaoutaka MUUNGANO? watu tnawabeba kiuchumi hafu mtatupiga mateke ya PUNDA. Mtajilaumu tu tulieni ninyi mlianza sisi tunamaliza

Ndugu zangu wazanzibar,Ni muda mrefu sasa tumekua ktk manung'uniko kwamba serikali ya Muungano(Tanganyika) wanatunyonya.

Kumekua na rai nyingi sana za kutaka mamlaka kamili ya nchi Zanzibar ili tujiendeshe kama nchi nje ya Jamhuri ya Muungano.

Wapo wazanzibar walofika mbali zaidi na kusema sasa Muungano basi.

1.Napenda niwaulize ndugu zangu wazanzibar kabla hatujapaza yowe la kuukataa muungano huu je tumejiandaaje kujiendesha kama nchi kamili nje ya Muungano.

2.Niwajuze wazanzibar wenzangu kelele na manung'uniko yetu yamewaamsha watanganyika sasa wako mbioni kupata nchi yao nje ya muungano.wao wamejipanga tayari kwa hilo.

3.Ndugu zangu wazanzibar kama tulikua tunafanya utani wenzetu wapo serious,kiuchumi,kisiasa.
Wamejiimarisha ktk nyanja nyingi muhimu kama nchi.JE sisi tumejiandaaje!

Rai yangu kwenu mdundo huu wa kuvunja muungano usituleweshe naona mwisho wake tutakuja kuwapigia magoti watanganyika turudiane kuungana.

Upepo wa mabadiko
Upepo wa kisiasa
Lazima tuangalie tuna vyuo vikuu,vyanzo vya mapato zanzibar,ajira,n.k
Malalamiko na manung'uniko yasio na tija hayafai.
 
Itafika wakati utajitambua wala sijivunii kuwa mzanzibar bali mimi ni mtanzania.
Haya ya kujiona tupo sawa kwa kila jambo ndo kila siku tunabaki kulalama tu.

"sheikh kumbe watupigisha kelele bure kumbe hata si wa kwetu! hakuna mzanzibari mmoja asiyejivunia uzanzibari wake kwanza na baadae ndio ukaja utanzania !!! (how i hate to be called 'Tanzanian'!! uuh!) huwa naona haya kuitoa passport yangu kumuonesha mtu ukiachilia immigration points tu!"
 
Kwakua nipo agaist nawe nikatae lakini siku ya kuja kuwapigia magoti watanganyika tutakua wote.
 
Kama hujui Historia ya Zanzibar bora ukae kimya makanisa yalikuwepo kabla hata ya muungano. na huo ukafiri unaousema ndio unawapa kula bila makafili kuja zanzibar kuangalia makanisa yao hamuendi chooni wala watoto wenu hawaendi shule..Kodi za Makafili wa Tanganyika ndio zimewabeba hadi leo!! Mlikua mnabeep kuvunja muungano sasa tumewapigia subilieni katiba mpya ije tuwape notsi masaa 48 mtaondoka na vikapu vyenu kurudi pemba
hahahaaaa!chukua like,hvi huko zenji kuna hata chuo kikuu kweli?waende na kanchi kao hata cc hatuwataki
 
Ndugu zangu wazanzibar,Ni muda mrefu sasa tumekua ktk manung'uniko kwamba serikali ya Muungano(Tanganyika) wanatunyonya.

Kumekua na rai nyingi sana za kutaka mamlaka kamili ya nchi Zanzibar ili tujiendeshe kama nchi nje ya Jamhuri ya Muungano.

Wapo wazanzibar walofika mbali zaidi na kusema sasa Muungano basi.

1.Napenda niwaulize ndugu zangu wazanzibar kabla hatujapaza yowe la kuukataa muungano huu je tumejiandaaje kujiendesha kama nchi kamili nje ya Muungano.

2.Niwajuze wazanzibar wenzangu kelele na manung'uniko yetu yamewaamsha watanganyika sasa wako mbioni kupata nchi yao nje ya muungano.wao wamejipanga tayari kwa hilo.

3.Ndugu zangu wazanzibar kama tulikua tunafanya utani wenzetu wapo serious,kiuchumi,kisiasa.
Wamejiimarisha ktk nyanja nyingi muhimu kama nchi.JE sisi tumejiandaaje!

Rai yangu kwenu mdundo huu wa kuvunja muungano usituleweshe naona mwisho wake tutakuja kuwapigia magoti watanganyika turudiane kuungana.

Upepo wa mabadiko
Upepo wa kisiasa
Lazima tuangalie tuna vyuo vikuu,vyanzo vya mapato zanzibar,ajira,n.k
Malalamiko na manung'uniko yasio na tija hayafai.

Mkuu upo tayari mkeo achukuliwe eti kisa tu wewe masikini huna gari?acha kuuza utu wako,jali vizazi vyako,hatokuja mtanganyika akakusaidia mwanao,zanzibr kwanza.
 
Kwakua nipo agaist nawe nikatae lakini siku ya kuja kuwapigia magoti watanganyika tutakua wote.
Huna haja ya kupigia magoti taifa lolote, fanya kazi tu upate mradi wako.
Siku za kutegemea Tanganyika kuwalisha, kuwalinda, kuwalipia bili za umeme na kuwalipa mishahara zimekwisha.
 
Mkuu,

Angalia usije sema hata mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa ya kikristo-kafiri,maana aliyefanikisha anaitwa mkristo-kafiri John Okello!Au naye mnataka kumfuta kwenye historia!

Poleni!Ila ndio ukweli mchungu huo!
hahaaaaaaaaaaaaaa!baeleze,aibu zao waende huko!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom